Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
Hapa ilipofikia nadhani watasimama kwa mudaPB imeisha
Hapa ilipofikia nadhani watasimama kwa mudaPB imeisha
Mm mwenyewe Gotham mwanzon sikuikubali ila kuanzia seaso2 niliipenda nw nipo season3 epsd 20Hivi banshee itaendelea kweli ama ndo imeisha mana ile series ni jembe mana kwa sasa series nayo ifata sana no Gotham ilianza kindenzi hila nimejikuta nipo nayo addictive
Kimsingi sio imesimama bali ndo imeshaisha hivyo! Hata wakati wanatangaza ujio wa season 5, walishatangaza in advance kwamba itakuwa limited series!!! Na kwavile ni limited series, inaweza kurudi tena au isirudi!!!Hapa ilipofikia nadhani watasimama kwa muda
Last ship inaanza season mpya next wee..Last ship na power zimeisha siku nyingi sana
Whaaaaat!! Hii ni good news aisee!Last ship inaanza season mpya next wee..
Sorry sio last week.. Ni 80 days from today..Whaaaaat!! Hii ni good news aisee!
Unatumia app gani??Sorry sio last week.. Ni 80 days from today..
![]()
App inatwa tv time:tv show tracker ipo play store.. Ni nzuri sana kwa wapenzi wa tv series ina vitu vingi sana..mi nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu sana na ina series nyingi mno.. Series ikishatangazwa tu hata kama ni mwaka keshokutwa wanaweka na countdown na information nyingi kuhusu hiyo series unapataUnatumia app gani??
Nichekie
Blind spot
Quantico
The good fight
APB na
Good behavior zinaanza lini please?? Or tell me the App
Movie Series&Celebrity'sUnatumia app gani??
Nichekie
Blind spot
Quantico
The good fight
APB na
Good behavior zinaanza lini please?? Or tell me the App
Movie Series&Celebrity'sThe 100 one of the best series
Haitumii MB nyingi mkuu?App inatwa tv time:tv show tracker ipo play store.. Ni nzuri sana kwa wapenzi wa tv series ina vitu vingi sana..mi nimekuwa nikiitumia kwa mda mrefu sana na ina series nyingi mno.. Series ikishatangazwa tu hata kama ni mwaka keshokutwa wanaweka na countdown na information nyingi kuhusu hiyo series unapata![]()
Kawaida tu mkuu.. Na kama utatumia kwa ajili ya premiere dates tu ndo kabisa sawa na bure..Haitumii MB nyingi mkuu?
Mkuu inaniambia nifanye payment Kwanzaa kumbe siyo Bure aisee?Kawaida tu mkuu.. Na kama utatumia kwa ajili ya premiere dates tu ndo kabisa sawa na bure..
Duh.. Mi sjawahi hata kuona ikiniuliza payment tangu nianze kaitumia.. Unauhakika umeichukuwa yenyewe mkuu?Mkuu inaniambia nifanye payment Kwanzaa kumbe siyo Bure aisee?
Duh.. Mi sjawahi hata kuona ikiniuliza payment tangu nianze kaitumia.. Unauhakika umeichukuwa yenyewe mkuu?
Mkuu hiyo siyo kwa ajili ya kuangalia series yenyewe.. Hiyo ni kwa ajili ya follow up na information tu kama tarehe ya kutoka season au episode mpya na kuona watu wengine wanasema nini juu ya series unayoangalia.. Ila huwezi kudownload au kuona series yenyewe direct hapo.. Series ikitoka itakupa notification na ukishaangalia wewe unaweka watched then utaona na reactions za wenzako wanaongalia same series..![]()
Ndiyo inafunguka hivi mkuu haina Ata option ya kuplay
Iko vzr,movies and zote updated ziko apaRecommended! Popcorn Time Popcorn Time - Instantly watch the best movies & TV shows for FREE!