Series (Special thread)

Series (Special thread)

Yaaa ila mwanzo hama haijaeleweka sana ila itakua moto sana baadae.. Mzee linken wa kwenye the 100 daaah wacha kbsa
Unakumbuka time after time na yenyewe ilianzaga kindezi...
The 100 sina mzuka nayo tena now days. Toka season one sijaichek tena
 
Unakumbuka time after time na yenyewe ilianzaga kindezi...
The 100 sina mzuka nayo tena now days. Toka season one sijaichek tena
Yes kwel time after time wale wapuuz wakaikatisha aisee,,,the 100 aisee umekosa uhondo ndugu,,season one ilikua utoto mwngi ila sasa hiv aisee usipime
 
Yes kwel time after time wale wapuuz wakaikatisha aisee,,,the 100 aisee umekosa uhondo ndugu,,season one ilikua utoto mwngi ila sasa hiv aisee usipime
Basi nitaendelea kuichek Maana maserati Ndio kanisababisha nisiitazem tena the 100. Ila American gods nimeielewa etiiu. Lincoln wangu sasa,imenifanya nizidi kuipenda. Ananiogopesha bilquiskumeza watu kwenye naniliu yake tu.
We maserati namuogopa bilquis wako
 
Sasa Mimi na wewe nani ananmjazage mwenzie madesa ya uongo. Mi the 100 niliacha kuichek zamani toka imeisha season 1 kipindi kile we umekomaa na under the dome,ukaja ianza the 100 wakati inatoka season 2 nkasema sijaipenda nikaacha we ukataka usiimalizie.

Umesahau mimi nilivyokuambia uimalizie tu.

Namleta bilquis sasa akumeze kwenye naniliuuu yake. Ichek episode 2 sasa
 
Mi ndo kwanza nataka kuipakua season moja kwanza niielewe maana unaweza cheki episode moja au mbili bado usiielewe,,naipakua season one yte kwanza nadhan nitaanza kuichek kesho nitakuja na mrejesho
Utaniambia basi. Ila american gods me nakuambia hot fire wangu. Itakimbiza baadae
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom