Series (Special thread)

Series (Special thread)

Bado wiki tatu (max) kuanza msimu mwingine wa series unless kama hazipo kwenye list yako kv Suit, The Last Ship, Power, Game of Thrones!!!
Last ship na power zimeisha siku nyingi sana
 
Yah, lakini haijakuwa cancelled. Eric Dane a.k.a Captain Chandler alikuwa na personal issues kwahiyo ikasababisha production isimame kwa muda!!
Waendeleze Tu series moja moja nzuri. Kama unaangalia prison break season Yule msichana Shiba yupo pia kwenye the last ship. Sema alikufa.
 
Ha ha ha ha mkuu naichek hata sasa hv,,ila inahitaj uymtulivu uielewe vzr,,ila nmeipenda sana
Lazima uwe makini. Mr Ramse huyu jamaa balaa tupu. Huku kuna James Cole a.k.a time traveller

Nimependa pale walipoenda 1951. Now ipo season 3
 
Lazima uwe makini. Mr Ramse huyu jamaa balaa tupu. Huku kuna James Cole a.k.a time traveller

Nimependa pale walipoenda 1951. Now ipo season 3
Mi nipo season 2 ep 3 wameondoka na dr Cassy kwenda 1944.. Nzr snaa kwa kwel
 
Mkuu hata show box maelekezo ni hayo ukifika pale kwenye ku dawnload chagua option ya open with... Kisha tumia DAP labda kama kwenye hizo App hakuna series unazo taka.
Ninachomaanisha inaji cancel..
Yaani sina raha Hata ya kuangalia series,kwa sababu ya Ku crush down
 
Alafu inavituko
Hapo sasa.
Wako serious,wako funny Yaani full raha. Mi I'm in love with behaviorist tobayas season 3 sasa visa Ndio vinazidi kila kukicha.season 3 imeisha, Good thing in order ya season 4.me I can't wait for season 4
 
Ngoja niendelee kucheki.
 
Last ship na power zimeisha siku nyingi sana
Zimeisha kivipi wakati zote hizo huwa wanazitoa msimu wa summer ambao huanza somewhere around June 21 ?!

Power imefikia Season 3 na inatarajiwa kuanza Season 4 na the Last Ship hivyo hivyo ingawaje kulikuwa na some delays kutokana na personal issues za Eric Dane (Captain Chandler).
 
Sasa ww unaniambia niangalie series ambayo haijatoka bado zote hizo nmeziona mpk zilipoishia
 
Waendeleze Tu series moja moja nzuri. Kama unaangalia prison break season Yule msichana Shiba yupo pia kwenye the last ship. Sema alikufa.
Yah, Sheba si yule Lieutenant wa Ki-Israel! PB naiangalia ingawaje kwa sasa nimeipumzisha nasubiria episodes ziongezeke!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom