Series (Special thread)

Series (Special thread)

Scorpion ni team geniuses wako wa4 lakini wanakutana na watu wa kawaida ambayo mdada mmoja Paige mwanae ni genius so wanamsaidia peige amwelewe mwanae,then Paige anawasaidia wao wawaelewe watu wa kawaida na watu wawaelewe Hapo genius.pia yupo wa kawaida mwingine Cabe ambae ni FBI agent,anawasaidia kwenye mission hatari kwa usalama wao. Hapo geniuses kuna machenics,behaviourist,human calculator na mkuu wao alieact as Walter mwenyewe Ndio ana IQ kuwazidi wengine. based on life of Walter O'Brien ambae ilikuwa na IQ Kubwa sana ya kutatua mambo mbalimbali na kusaidia jamii nzima. Ni nzuri sana espy mie inanitia uchizi kwa kweli.
Mi Series ambazo kila episode tukio lake sipendagi kabisa niliishia season 1 tu scorpion tena kwa kulazimisha
 
Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.
Sijui ile risasi katandikwa michael ama vipi, huku nje napo kaka yake kamiminiwa risasi za kutosha...
Jumanne huwa naionaa mbaliiii.
Ayahaaa!! Ushaharibu aisee na kwahiyo nimeshindwa kumalizia kusoma ulichoandika nisije nikafahamu details zote!!!
 
Jaribuni
Boardwalk Empire
Mr Robot
Black Mirror
The Get Down
The Man in the High Castle
The Sopranos
Westworld
Game of Thrones
Narcos
Peaky Blinders
The Boondocks
True Detective
.....ukitizama hizi nadhani mtazamo wako kuhusu ulimwengu utabadilika
1*owjAg4ryHp7WpVsIkU1cyA.gif
 
Mi Series ambazo kila episode tukio lake sipendagi kabisa niliishia season 1 tu scorpion tena kwa kulazimisha
Upo kama mm ila uzur kwa scorpion kutokana na maudhui yake ilikua haina jins zaid ya kuonyesha ujuz ktk sekta mbalimbali wanazokutana nazo
 
Kwa tunao iangalia tupo kwenye kihoro acha tuuuu.
Sijui ile risasi katandikwa michael ama vipi, huku nje napo kaka yake kamiminiwa risasi za kutosha...
Jumanne huwa naionaa mbaliiii.
Boob, pale! T bug na mwanaye washafika kwenye tukio ndio watasave mchongo pale.
 
Boob, pale! T bug na mwanaye washafika kwenye tukio ndio watasave mchongo pale.
Leo bwana mida ya saa saba hivi terrarium TV wakani popup kuwa prison break episode ya 09 imetoka kwanza nikashangaa saa hizi wakati huwa inatoka usiku, nikaipakuwa kwa pupa dadakii kumbe ni episode ya 08 aaaaaghaaaa.
Nikawa mpoleeeee
 
Mkuu si kweli, hata mimi nilisikitika sana walivyomtoa John Porter, lakin Sgt Scott alifit vizuri sana mkuu.

Ndio maaana walimleta sgt scott kama ni jamaa anaemjua vizur sht john porter ila inauma walivyomtoa major richmond na yule black alivyolizaini kazi ya jeshi.......
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom