Series (Special thread)

Series (Special thread)

Nilikuwa naidharau lakini niliipenda sana. Season 1 tu nimeitazama. Natafuta nyingine sijaipata
Attention Queen of the South fans! The date has been set and Teresa, Camila, Epifanio, and the rest of the crew will be returning to USA Network Thursday, June 8 at 10/9c.
 
Hivi hizo mbili bado episodes zake baada ya break hazijakamilika? Nilikuwa nasubiri zikimalike ndipo nianze kuzicheki!!
Sijakuelewa. Wakati blindspot episode ya mwisho imetoka week hii inayoishia??
Zimeendelea mkuu. Na zote zimekuwa renewed for season 3 zote mbili
 
Sijakuelewa. Wakati blindspot episode ya mwisho imetoka week hii inayoishia??
Zimeendelea mkuu. Na zote zimekuwa renewed for season 3 zote mbili
Anyway, umejibu kama nilivyohitaji! In short, nilikuwa nasubiria hadi season 2 zikamilike ndipo nianze kuziangalia! Suala la kuangalia episode moja halafu nabaki na hamu wiki mzima huwa naona mateso sana!! Hapa najilaumu nilikiuka utaratibu wangu kwenye Prison Break!
 
Anhaaa. Poa poa mkuu. Ndio hivo kama nlvyokuambia,japokuwa Quantico walikuwa katika hati hati ya kuwa cancelled kwa sababu ya rate viewers kushuka sana. But it is bless kuendelea season 3
 
Jamani nyie wajuaji wa mayai nataka kujua Nini President KIRKMAN alikuwa anaongea pale kwenye Congress

Note kwa wale wapenzi wa tu DS
 
Anhaaa. Poa poa mkuu. Ndio hivo kama nlvyokuambia,japokuwa Quantico walikuwa katika hati hati ya kuwa cancelled kwa sababu ya rate viewers kushuka sana. But it is bless kuendelea season 3
Quantico Season 2 nimeangalia tu zile episodes 10 za awali, ambazo kwa kiasi fulani, kulikuwa na mabadiliko kidogo kulinganisha na season 1. Nilikuwa nakerwa zaidi na season 1 baada ya kuona karibu nusu ya show ilikuwa inaundwa na flashbacks & flashforwards na sehemu iliyobaki ndiyo inaundwa na present day.

Wakati inaanza ile show watu tulitarajia yale ma-flashbacks yalikuwa ni kwa ajili tu ya kujenga stori... kumbe eh, ndivyo walivyopanga mtiririko wenyewe wa stori uwe hivo! Unashangaa kuona character X alishakufa lakini mara anakuja kutokea tena mbele ya safari, ndipo unakumbuka kumbe ni FB!
 
Mi nilishawishika kuiangalia kwa sababu kwenye series/movie mara nyingi huwa naangalia sana ni nani creators wa content husika na huwa siangalii ni nani waigizaji! Sa' kwa mtu kama Vince Gilligan tayari nilishazikubali kazi zake za Breaking Bad na X-Files; kwahiyo nilijua hata kwenye Better Call Saul asingeniangusha!!
Huyo Jamaa namkubali Sana, hasa alivyoitengeneza Ile breaking bad
 
Huyo Jamaa namkubali Sana, hasa alivyoitengeneza Ile breaking bad
Breaking Bad ni moja ya kufuru zilizopata kutokea kwenye ulimwengu wa series! Nishaingilia kama mara 3 hivi na bado haijanikifu!!! Na mwaka jana mwishoni iliripotiwa angekuja na limited series itakayoitwa Raven...
 
Angalia better call saul. Ilipofikia ni level ya breaking bad. Jamaa anazidi kufunika
 
Jaman nataka tamthia kama ya prison break...yaan watu wanafanya mission iwe ya kiarifu ama kisiasa..sipendi mingumi ngumi..Love story kama za wale wa hindi sana tu...yan nataka season inayo sisimua inakupa feelings
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom