Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,330
- 176,111
Kwakweli, yaani hiyo plan anayokuja nayo naingoja kwa hamu!I just love her she is smart kinoma noma
Kwakweli, yaani hiyo plan anayokuja nayo naingoja kwa hamu!I just love her she is smart kinoma noma
Nimeanza kuangalia designated Survivor Jumamosi, sasa nipo episode 16. One of the best. Story yake imetulia sanaKuna moja nimeanza kuiangalia recently inaitwa "Designated Survivor". Hii naona inaenda kuzipiku hizo hapo juu.
me nadhani michael ni genius zaid ya mahone kwa fact moja tu ..,walipokua sona mahone alitulia na akamtegemea mike kumtoroshaKtk Prison Break Mahone alikua gunius kuliko Michael sema kwa vile story inamuhusu michael unaweza usiione hii,,angalia Mohone alivyokua anagundua kila kitu Michael anachokifanya,angalia alivyokua anasoma codes viambata,,angalia alivyokua anajua lengo lao ni lipi haswa,,mpka michael akaona huyu yupo mbele yao hatua moja na akaja na mbinu ya kwenda kwa familia yake,,bt kwangu Mahone anapata 51%ndio ule usemi usijisifie una mbio bila kukumbuka anaekukimbiza.
Yani DS ni hatari....Designated survivor inaleta mapinduzi..
nimekuelewa, Tafuta Into The Badland, ukijuta njoo unipige magongoWakuu kwa yeyote mwenye kujua series yoyote za adventure isiwe,Merlin, viking,game of thrones,the seeker ,
Hii ni habari nyengine kabisa, Natamani isimalizeDesignated survivor inaleta mapinduzi..
Ukiizungumzia Prison break unamzungumzia Tbag. Huyu ndio alikuwa mastermind wa kila kitu, vitu vingi alivyofanikiwa Michael kulikuwa na uwepo wake.me nadhani michael ni genius zaid ya mahone kwa fact moja tu ..,walipokua sona mahone alitulia na akamtegemea mike kumtorosha
Kwa hiyo unataka za marvel mkono wa Chuma, na zile wa wakili kipofu anapiga watu 20... Au unataka za superhero....!!!???Into the badland movie za watoto watu wanapaa wap uchafu ule
Mkuu umeacha utamu hatariiiiiii....Niliachaga kuitazama baada ya kufanya Lincoln awe mtu wa ajabu. Ilivyoisha season one tu sikuendelea tena
Hilo group lipo active???Unganishwa na group mtakaposhirikisha movies na series kali pamoja
MOVIES/SEASONS HOT!!!!
Hapana. Napata mautamu mengine kutoka kwa series mbalimbali blindspot,Quantico,scorpion, the Arrangement na zingineMkuu umeacha utamu hatariiiiiii....
Nilikuwa naidharau lakini niliipenda sana. Season 1 tu nimeitazama. Natafuta nyingine sijaipataNaisubiri Quèen of South kwa hamu zote bila kusahau Teen wolf.
Ndio imetoka hiyo hiyo ss1,Nilikuwa naidharau lakini niliipenda sana. Season 1 tu nimeitazama. Natafuta nyingine sijaipata
Hivi hizo mbili bado episodes zake baada ya break hazijakamilika? Nilikuwa nasubiri zikimalike ndipo nianze kuzicheki!!Hapana. Napata mautamu mengine kutoka kwa series mbalimbali blindspot,Quantico,scorpion, the Arrangement na zingine
CanceledNilikuwa naidharau lakini niliipenda sana. Season 1 tu nimeitazama. Natafuta nyingine sijaipata