Series (Special thread)

Series (Special thread)

Apa mnagusa mahalaa palee mzeee noma sanaaaa

samahn mkuu naomba nikukosoe unapomuita jamaa mbabe umerefer kwny series ganiii?? km ni kwny 24 legacy bc ubabe wke ni wa kawaida pia na utajir wake ni wa kawaida kwsbbu kuu moja...wkt wametekwa yy na yule demu ake sterring walivotolewa yule demu alikua anamsihi jamaa arud ili akamuokoe braza ake (sterring) lakini jamaa alikua ana cta japo badae alirud kumuokoa (kwa fact km iyo cdhn km anapaswa kuitwa mbabe)...kwny case ya utajir alishindwa kumpa kaka yke (sterring) pesa kwa ajili ya kwnda kuikomboa flash iliokua kwa rafk ake (mwanajesh mwenzake) so kwa upande wng cdhn km jamaa ni mbabe....labda muhuniii ila sio mbabe
 
Isaac Carter,mkorofi,mjanja,tajiri na ana genge la wauza ngada,,anaweza kua mbabe kwa namna fulan,na tusimuhukum kwa kushindwa kumpa dogo wake hela kwa ajili ya ile flash drive,,kukataa kuwatumia CTU na kuamua kuita Crew yake sio jambo dogo,,pale alienda kupambana na magaidi wanaoinyima serikali usingizi,,

(Who do you calling--- aagghh I CALL MA Crew,,waje wote na waje na silaha zote..)

Unaona kilichotokea?? Vurumai haikua ya kitoto na kafanikiwa kweli kumtoa brother wake kama kawa.

Kutompa dogo hela sasa sio watu wote au matajiri wote wanakua na cash hapo hapo na pia kusingekua na maana kama atampa maana ile show ya pale polis tungeiona vip?au Isaack alijuaje km kuna hela polis?? Kumwita mbabe nakubali na kumwita tajir oia nakubak series nzur na mpangilio mzur
 
ok ila umecheki the blacklist??? umemuona raymond regginton mule ndanii...kwa pesa anazotumia na ubabe anaofanya kwa wababe wenzie mpk serikali inamuogopa na kuanza kumtumia kukamata wababe wengine...km umeicheki iyo utaona tofaut ya ubabe na kua na gang
 
Katika vinu vyenye akili.. Na blacklist ipo.. Yule jamaa ni fundi.. Mbabe na he has a smart memory...
 
Wakuu naomba mnitajie series zenye mambo ya hacking ukitoa mr robot na blacklist/redempition

Andy ananifanya nii enjoy sana 24.legacy huwa napenda sana issue za hacking kwenye series au movies
 
samahn mkuu naomba nikukosoe unapomuita jamaa mbabe umerefer kwny series ganiii?? km ni kwny 24 legacy bc ubabe wke ni wa kawaida pia na utajir wake ni wa kawaida kwsbbu kuu moja...wkt wametekwa yy na yule demu ake sterring walivotolewa yule demu alikua anamsihi jamaa arud ili akamuokoe braza ake (sterring) lakini jamaa alikua ana cta japo badae alirud kumuokoa (kwa fact km iyo cdhn km anapaswa kuitwa mbabe)...kwny case ya utajir alishindwa kumpa kaka yke (sterring) pesa kwa ajili ya kwnda kuikomboa flash iliokua kwa rafk ake (mwanajesh mwenzake) so kwa upande wng cdhn km jamaa ni mbabe....labda muhuniii ila sio mbabe
Mmeanza kukosa script
 
ok ila umecheki the blacklist??? umemuona raymond regginton mule ndanii...kwa pesa anazotumia na ubabe anaofanya kwa wababe wenzie mpk serikali inamuogopa na kuanza kumtumia kukamata wababe wengine...km umeicheki iyo utaona tofaut ya ubabe na kua na gang
Ni kwel ila ni series mbili zenye maudhui tofauti,,ni nzuri sana hasa kuanzia season ya pili,,na kesho inarud tena sehem ya kumi na sita(16ep) DEMBE
 
PRISON BREAK episode ya 3 tyr imetoka wakuu asee ni nomaaa fanyeni kuipakuwa nw nipo naicheki hapa.pia INTO THE BADLANDS nayo episode ya 5 imetoka.u cnt stop sunny ni nomaa cna
 
  • Thanks
Reactions: Lee
PRISON BREAK episode ya 3 tyr imetoka wakuu asee ni nomaaa fanyeni kuipakuwa nw nipo naicheki hapa.pia INTO THE BADLANDS nayo episode ya 5 imetoka.u cnt stop sunny ni nomaa cna
Kwa hizi episode tatu za prison break ukipiga hesabu ni kila baada ya siku 7 wanatoa episode moja.
Sitaki kuamini kama mission ya michal a.k.a Kaniel Outis ime fail...
 
Mkuu link plz kuipata season 5 is prison break
 
Kwa hizi episode tatu za prison break ukipiga hesabu ni kila baada ya siku 7 wanatoa episode moja.
Sitaki kuamini kama mission ya michal a.k.a Kaniel Outis ime fail...
Wamefanikiwa kutoroka subiri next week utaona...
 
hawajafanikiwa kutoroka wamekamatwa nje asee.sema michael ataona sio mbaya maan pia kuna jamaa yke alishindwa kutoka alibaki na alikuwa mtu muhim cna
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom