Series (Special thread)

Series (Special thread)

Lethal weapon nakushauri.. quantico achana nayo na nahis itakuwa cancelled. The americans angalia s1,hadi s04. Isubirie s05 ijae ijae kwanza maana iko slow katika build up sasa hivi.
hahaha et quantico itakuwa cancelled umetisha mkuu ....uwa nashangaa kwann nimeiangalia ep 10 tu s1 na sijaendelea .,
 
Kuna hii series The Son,nani ameitizama anijuze ikoje?kabla sichachoma mb's zangu kupakua mauzauza
Napenda sana genre hii km Peaky blinders,Taboo,Black sails
 
Wale wa prison break..baada ya kumuona killaman,,tutegemee kumuina huyu mnyama ambae nae ni genius kama Michael??
200px-Prison_Break_Mahone.jpg
 
Hakuna aliyenilazimisha kuangalia,na hakukuwa na umuhimu wowote wa wewe Ku reply since nilikuwa sikujivu wewe. Ndio hivo ushoga wake na ushoga wa kwenye empire pia nilishaachaga kuuangalia. Ambao mko interested angalia since haulazimishwi na mtu
Unavyoonekana tu una tabia za kishoga. Kwani na wewe ulilazimishwa kuongelea kuhusu prison break ,kama uliona ni ya kishoga si ungepita pembeni.
 
Mkuu ndio maana nilipiga kimya, maana humu unaweza bishana na watu be low 70%. Thread inazungumizia series, yeye analeta habari zingine
 
Kumbe Ndio tabia zako!!!maskini pole Sana,dume zima unachokonolewa dole la mkund#. Kama ambavyo wewe umejisikia kujibu Ndio hivyo hivyo ambavyo Hata mm nilijisikia kupitia Simu yangu,bando langu na muda wangu Ku comment hivo. So you just shut the hell up about my comment au let's keep on commenting as much as u can...by the way,i'm mdada....ndezi we
 
Habari nyingine Kama ipi??kwani hilo halihusu series??wangapi Hapo juu wamesema,wamikacha empire kwa sababu ina mambo ya kishoga!!!did you bark over them??or u just want to find a place cooling your tamper?? I'm sorry,you are barking under the wrong tree na ni afadhali uendelee kupiga kimya hivyo hvyo
 
Mdada gani ana matusi hivi.
 
Nadhani tofauti kati ya Empire na prison break ni kwamba, Empire ushoga upo ndani ya series yaani ni part of the scenes na prison break ushoga upo nje ya series. Yaani huwez kukuta scene ya ushoga
 
Kuna hii series The Son,nani ameitizama anijuze ikoje?kabla sichachoma mb's zangu kupakua mauzauza
Napenda sana genre hii km Peaky blinders,Taboo,Black sails
Ndo kwanza imetoka mkuu we ipakue ulete mrejesho hapa....
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Nadhani tofauti kati ya Empire na prison break ni kwamba, Empire ushoga upo ndani ya series yaani ni part of the scenes na prison break ushoga upo nje ya series. Yaani huwez kukuta scene ya ushoga
Lakini jambo la ushoga si yapo? OK tuseme hivi empire imegiza ushoga of which prison break staring wao ni shoga in real life. Beka Ndio bakari Hapo,nashu Ndio husna.
 
Nyoooo. Na ulivyoniita shoga kunifananisha na Michael Scoff ulidhani nitafurahia.. Achaga uchoko siku zingine Kama mtu hajakutusi. Umeyataka mwenyewe, sikukutuma unitukane.
Naona Bado unaendelea kudhihirisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom