YapNaona Bado unaendelea kudhihirisha.
Game of thrones,the flash inaweza kuendena na arrow mission za Ku rescue vile.may beanaejua series zinazofanana na the 100,,,strike back,,,banshee,,,vikings,,,american odyssey,,,,arrow,,,,,
Anitajie tafafhali
LimetorrentWapi pa kupakua prison break 5 ...jamani yote yote
I gia terrerium tv dakika 0 tuWapi pa kupakua prison break 5 ...jamani yote yote
MahoneWale wa prison break..baada ya kumuona killaman,,tutegemee kumuina huyu mnyama ambae nae ni genius kama Michael??
View attachment 495179
mkuu hii nimeichek ila inatumia nguvu nyingi co kama izoStrike back
Index of /serial/Prison Break/season 5/720/Wapi pa kupakua prison break 5 ...jamani yote yote
Zile zinaitwa BLACK OPPS.... Kwa sababu agencies haziruhusiwi kutorture wanazicreate kwa akili ya kazi chafu....Hivo 24 legacy ni nzuri??
Chamq mojaaa1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries
Hapana; lazima ipo sababu kwahiyo tuambie!! Kwa mfano, sometimes, ingawaje najua sio kosa lake bali ni kosa la watengenazaji wa filamu kuifanya character yake huwa hivyo, huwa namchukia T-Bag! Nimekupa T-Bag kwa sababu ni maarufu kwa wengi na hivyo I hope unafahamu kwanini sometimes huwa namchukia!!!Yule star wa 24 legacy-anafanya naichukia hii series sijui kwa nini?? Najikuta simpendi!!