Nokia83
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 24,643
- 44,371
hivi mnawezaje kuangalia series za wazungumaana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.
hicho ndo kinanifanya nisiziangaliage
Kwani ww hunjunjani?!
hivi mnawezaje kuangalia series za wazungumaana waweza shtukia watu wameanza kunjunjana.
hicho ndo kinanifanya nisiziangaliage
nanjunjana ila kisirisiriKwani ww hunjunjani?!
Toxic wap ni nzur na ina speed sema quality sio nzuur sana,,ngoja ni test Toxicwap niangalie nayo speed yake.
Ukisema speed mara nying hua mnazungumzia speed gan?Toxic wap ni nzur na ina speed sema quality sio nzuur sana,,
Iko poa sana!!! Ila napenda ile ya ELEMENTARY!!! Inanoga kuliko Sherlock yenyewe!!!Wakuu nan kaangalia sherlock vip iko poa?
Quality ni nzuri ukiangalizia kwenye simu au tablet!!!Toxic wap ni nzur na ina speed sema quality sio nzuur sana,,
Paprika mambooz,,,inahusu nn hyo?Iko poa sana!!! Ila napenda ile ya ELEMENTARY!!! Inanoga kuliko Sherlock yenyewe!!!
Zote zinamzungumzia Sherlock Holmes
Yaani nilivomaliza heroes reborn ilinibidi nianze upya heroes!!! Yaani nazioenda!!! Saivi nimeanza upya Chuck na Smallvilleheroes and heroes reborn huu ulikuwa moto mwingine
Mkuu wewe kweli unajua vitu vizuri...1-The vikings
2-Da vinci demons
3-Spartacus
4-The tudors
5-Vampire diaries
Ni story za kuhusu Sherlock Holmes!!! The greatest detective ever lived... Kuna series na movies nyingi kuhusu yeye... Ila kwenye hizo series anasaifia polisi kama consultant kukamata wahalifu especially kwenye kesi za mauaji.... Kama MONKPaprika mambooz,,,inahusu nn hyo?
Toxic wap ni nzur na ina speed sema quality sio nzuur sana,,
Mjue mi siwezi kabisa kuitumia hiyo toxicwapUkisema speed mara nying hua mnazungumzia speed gan?
Kwa hyo ipi ni nzur niweze ipakuaNi story za kuhusu Sherlock Holmes!!! The greatest detective ever lived... Kuna series na movies nyingi kuhusu yeye... Ila kwenye hizo series anasaifia polisi kama consultant kukamata wahalifu especially kwenye kesi za mauaji.... Kama MONK
Ni series nzuri sana, anasolve kesi ambazo zinaonekana hazisolviki
Mimi naipenda Elementary!!! Ila kama unataka pure detective stuff and no other fun and laughing pakua SherlockKwa hyo ipi ni nzur niweze ipakua
Ubarikiwe PaprikaMimi naipenda Elementary!!! Ila kama unataka pure detective stuff and no other fun and laughing pakua Sherlock
Amina!! KaribuUbarikiwe Paprika
Mkuu nitumie io series mkuu.Scandal ni balaa nipo naangalia season 6 hapa,hutajuta kuichek.
Apa mnagusa mahalaa palee mzeeemselaa jiwe,,,mbabe,kiburi,tajiri,mtukutu na anajua kuleta noma...![]()
noma sanaaaaKumbe na ww unamkubaliApa mnagusa mahalaa palee mzeee![]()
![]()
noma sanaaaa
Hii sherlock ina season 4 bt kila season ni episode 3 bas??Amina!! Karibu