Kuna app moja inaitwa TV SHOWS ipo google play kwa wale wapenzi wa series ni msaada mzuri inakufanya usipitwe na episode na pia kujua lini inatoka inayofata.. Mi naitumia ipo bomba sana...
Iyo taboo ni kali mkuu? Au ni kawaida. The 100 mkuu imeanza kuwa kali balaa na iyo 24 legacy nilipotezea ila ngoja nianze ifwatilia ....emarald city daaah!! Ndo the best kwa sasaa