Series (Special thread)

Ila kuna dalili kama anaelekea kwenye mambo ya jinsia moja.... finger crossed
hawa wazungu bila kuweka mambo ya kishoga naona wameshindwa kabisa..... lakini Dr.Ningma naona amekutana na miss Kringle, tutegemea conflict zakutosha
 
My all time favorite series: LOST
Hii series huwa siichoki, story yake tamu sana na usipokuwa makini na wewe una lost..
 
Mkuu unapatikanaje tufanye mandingo ya kunisogezea baadhi kwenye list

Natanguliza shukrani
 
wakuu nawauliza, hivi series ya atlantis season 3 ndo haitoki tena?
mkuu hata mimi najiuliza, hii movie niliipenda sana ase

kama una movie zingine zinazoendana nayo nipe list mkuu
mfano
merlin
legend of the seeker
olympus
Hercules
 
Fox wanaileta 24 kivingine kbs!
Hii movie bila jack bauer sidhani km itapendeza
Binafsi sion kama itashika kwakweli...kwa hilo intro...sioni kama huyo mmakonde mwenzangu yuko siriazi na kazi yake....bouer was different kabsa aisee!

Sasahv yuko bize na designated survivor....it is getting better
 
Reactions: Lee
Kwa wale ambao wanaopenda kudownload any torrent files kwa IDM/Direct download at UNLIMITED SPEED au streaming online torrent files tumieni link hii https://seedr.cc/?r=241798 Ukijisajili utapewa ofa ya 500MB na jumla zitakuwa 2.5GB from 2GB kwenye akaunti yako.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…