Series (Special thread)

Series (Special thread)

wale wapenzi wa SALEM season ya 3 imisha toka tokea tarehe 2/11/2016 .wamisha achia episod 2 mpaka sasa

Salem.jpg
hii series nilijikuta nikivutika kuifuatilia ili nijue itakuaje John Alden akifika kwa mpenzi wake Mary Sibley katika oparesheni yake ya kupambana na wachawi. Ila nimeishtukia kama vile inamkuza sana shetani kiasi kwamba hata mapriest kama Cottom Mather na babake wanashindwa nguvu na wachawi?! kuna u Satanism wanaupenyeza kubadili imani zetu sio bure. Tuiangalie kwa tahadhali
 
Hawa Wazungu tunawaoneaga sana na wakati mwingine inatokana na sisi wenyewe kutofahamu mantiki ya sanaa! Hiyo Salem sijaiangalia kv Supernatural sio my favorite genre! Hata hivyo, niliamua kui-Google kuangalia ikiwa lengo lao ni kueneza Satanism au ni ile tu African Paranoia ya kila kitu kusingizia Wazungu! Kabla hujahisi wanalenga kutuletea satanism, vp ulishajaribu kwanza kui-study CHARACTER ya huyo Cotton Mather na kuielewa?!
 
Jamani wakuu msaada wenu nataka nidownload series nisave kwa flash ili baadae nipate kuicheki lakini nashindwa ,naombeni mnisaidie basi
 
Download kwanza apps za kudownlodia kama idm
 
Mwenye link ya into the badland msaada plz
 
Hiyo lost ni action rafiki??
Sio ya action inafanana na prison break tofauti yake ni mazingira tu ..akili nyingi zimetumika watu kujinasua kwenye kisiwa walichopotea baada ya kupata ajari ya ndege na kudondokea kwenye kisiwa cha ajabu.
 
  • Thanks
Reactions: Lee
Sio ya action inafanana na prison break tofauti yake ni mazingira tu ..akili nyingi zimetumika watu kujinasua kwenye kisiwa walichopotea baada ya kupata ajari ya ndege na kudondokea kwenye kisiwa cha ajabu.
Daaah long time sana hiyo series aiseee...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom