leonardo da vinc
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 1,108
- 735
Hii ina jipya lipi?Chekini the ariginals nayo iko poa sana
Hii ina jipya lipi?Chekini the ariginals nayo iko poa sana
Kaboom my dear Jane is no longer a virgin, and she facked orgasm on her first........
HatimayeMambo safi! Ulipotelea wapi?![]()
![]()
Hatimaye
mambo vipi kitambo sana
Sina shaka hata kidogo kwamba itakuwa kali kama kawaida kwa sababu, movie/series ni story na director ndipo wanakuja actors/Characters! Character anatengenezwa in advance na ndio maana, hata ukiangalia Jack Bauer wa 24 ni tofauti na wa Touch na ni tofauti na wa Designated Survivor! Ingawaje huwezi kumlinganisha Corey na Bauer kwavile Bauer ni very experienced, lakini Corey yule yule akikutana na development team ya ukweli, lazima utamtaka tu! Na uzuri ni kwamba development team ya 24 ni ile ile ya zamani kuanzia creators hadi writers!Ngoja tusubiri,tuwekege na akiba ya maneno maana ...
Majukumu tuu sahivi unaendelea na ipi tofauti na designated survivorMambo safi! Ulipotelea wapi?
Majukumu tuu sahivi unaendelea na ipi tofauti na designated survivor
Quantico ilikuwa break nafikiriHiyo sijaicheki, naendelea na zinazoendelea like arrow,jane the virgin,empire,quantico,black list,blind sport,the flash nk nk.
Series nzuri Sana hiyoHiyo sijaicheki, naendelea na zinazoendelea like arrow,jane the virgin,empire,quantico,black list,blind sport,the flash nk nk.
Wanadengua nayo kweli!!Quantico ilikuwa break nafikiri
Oooh kumbe, itabidi niitafute.Series nzuri Sana hiyo
Bauer ndani kama rais wa USA Nikita ndani kama FBI na mastaa wengine wakaliOooh kumbe, itabidi niitafute.
Waaoh!! Nitaitafuta.Bauer ndani kama rais wa USA Nikita ndani kama FBI na mastaa wengine wakali
Kuna kitu nimekiona hapa.Sina shaka hata kidogo kwamba itakuwa kali kama kawaida kwa sababu, movie/series ni story na director ndipo wanakuja actors/Characters! Character anatengenezwa in advance na ndio maana, hata ukiangalia Jack Bauer wa 24 ni tofauti na wa Touch na ni tofauti na wa Designated Survivor! Ingawaje huwezi kumlinganisha Corey na Bauer kwavile Bauer ni very experienced, lakini Corey yule yule akikutana na development team ya ukweli, lazima utamtaka tu! Na uzuri ni kwamba development team ya 24 ni ile ile ya zamani kuanzia creators hadi writers!
Jack anaweza kurudi lakini kurudi kama Lead Character naona itakuwa ngumu sana! Labda anaweza akawa anatokea as a Guest Star. Naona Designated Survivor ndo imekuja kuharibu kila kitu kwa upande wa Jack na 24... don't forget, DS ni full season series yenye 22 episodes kwahiyo si kazi ndogo! Mbaya zaidi, Jack ni mmoja wa Executive Producers wa DS. So, kama DS itakuwa successful, na dalili zimeshaonesha itakuwa successful, sioni ni namna gani Jack anaweza kuiacha show anayo-lead na pia ni Exec... tena afadhali ingekuwa 12 episodes!!Kuna kitu nimekiona hapa.
Hawa jamaa walishindwana na Jack so wanaleta 24 legacy ili baadae Jack arudi.
Nina imani jack atarudi ikiisha designated survivor
Kumbe network ipo!!!Jack anaweza kurudi lakini kurudi kama Lead Character naona itakuwa ngumu sana! Naona anaweza akawa anatokea as Guest Sterling. Naona Designated Survivor ndo imekuja kuharibu kila kitu kwa upande wa Jack na 24... don't forget, Designated Survivor ni full season series yenye 22 episodes kwahiyo si kazi ndogo! Mbaya zaidi, Jack ni mmoja wa Executive Producers wa DS. So, kama DS itakuwa very successful, na dalili zimeshaonesha itakuwa successful, sioni ni namna gani Jack anaweza kuiacha show anayo-lead na pia ni Exec Producer...tena afadhali ingekuwa 12 episodes!!
All in all, let's wait and see... kama atarudi as lead actor itakuwa jambo jema sana kwa sababu ile character tutai-miss sana na huenda waandaji waka-create character tofauti na ya Jack (na hii ni possible kwa >75%)... hapo ndipo taste halisi ya 24 itakapoingia kwenye mtihani.

Si nilikuambia nimepata delays na kwa bahati mbaya ikawa total delay!Kumbe network ipo!!!
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()