Mbona mimi sijaona scene aliyofanya hayo mambo live ? Mimi naona alikua anavaa vile ili kuficha identity yake maana alikua anatafutwa , ili sijaona scene waliyo practice hayo mambo.Hawa magay ndio wanaharibu movie! Tena huyu eti anavaa kikike kabisa daaah!!
Hata asipopractise, ni nini tafsiri ya mwanaume kuvaa na kuongea vile!!Mbona mimi sijaona scene aliyofanya hayo mambo live ? Mimi naona alikua anavaa vile ili kuficha identity yake maana alikua anatafutwa , ili sijaona scene waliyo practice hayo mambo.
Jibu murua kbsHata asipopractice, ni nini tafsiri ya mwanaume kuvaa na kuongea vile!!
Tafsiri sio nzuri ila nimejaribu kumuelewa alivaa hivyo kwa sababu nilyokutajia mwanzo , mimi kinachonishangaza ni pale mtu anaposema ameicha kwa sababu hiyo .Hata asipopractice, ni nini tafsiri ya mwanaume kuvaa na kuongea vile!!
Hata yule mwingine(simkumbuki jina) alikuwa anasakwa na mbona hakuwa shoga??Tafsiri sio nzuri ila nimejaribu kumuelewa alivaa hivyo kwa sababu nilyokutajia mwanzo , mimi kinachonishangaza ni pale mtu anaposema ameicha kwa sababu hiyo .
The night of Ina story nzuri sana halafu ujui mbele itakuaje ila ndo ishaisha tena"The night of"...ni series nzuri sana hasa kwa wanaopenda legal battle. Ina episod 8 tu....so sweet !
Aliyekua anatafutwa mwingine unamzungumzia Lucas Hood ?Hata yule mwingine(simkumbuki jina) alikuwa anasakwa na mbona hakuwa shoga??
Usimshangae alieiacha kwasababu hiyo, maana hata yeye anaweza akakushangaa kwann hukuiacha kwa sababu hiyo hiyo.
Ndio huyo huyo.Aliyekua anatafutwa mwingine unamzungumzia Lucas Hood ?
Yule jamaa alikua anaweza kuji tetea na kujikinga dhidi ya maadui zake , kwa character yake asingeweza kuigiza kimavazi kama Job.Ndio huyo huyo.
Hiyo if loving u is wrong season 5 ishatoka?nimeishia 4..na kickass washaifungia,NAHAHA TUPole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Bado hawajatoa season fiveHiyo if loving u is wrong season 5 ishatoka?nimeishia 4..na kickass washaifungia,NAHAHA TU