Series (Special thread)

Series (Special thread)

Ndugu mnaweza nisaidia series yoyote ya Jack Bauer... 24 na touch tayar nishazicheki kama kuna nyingine
Kuna mpya inaitwa Designited survivor ni kali sana.
Pia mkuu wapi nitaipata hiyo ya touch..
Niliona trela yake yule mtoto ni sheeda
 
Ila strike back mambo yetu yapo ya kumwaga,sullivan stapleton ktk blindspot inapoendea atamgegeda mtu inavyoonekana
 
Ohhh!!!!..Ngoja niitafute..Hivi Jane na Michael bado hawajagegedana tu?
Season 2 iliishia ndio wamefunga ndoa wako fungate, ile wanajiandaa kugegedana michael akaenda kufuata sijui ni wine huku jane akijiandaa kwa kivazi cha mtego ndio akakutana na balaa la kupigwa risasi, kwahiyo hawajagegedana.
 
Yeah..Nimekumbuka..Nimepeleka ombi kwa director..Season 3 Jane agegendwe hata mara moja..Mana ametuzungusha sana aisee
 
Yeah..Nimekumbuka..Nimepeleka ombi kwa director..Season 3 Jane agegendwe hata mara moja..Mana ametuzungusha sana aisee
Hahaaaaaaa!! Umenifanya nicheke, eti ametuzungusha sana, kila akitaka kugegedwa lazima kikwazo kizuke, eti hata sasa wakati ameolewa bado tu kikwazo kimekuja, khaaaaah!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom