Series (Special thread)

Series (Special thread)

Itafute kwa jina hili
Hapa nahofia kui update nisije kukutana na kisanga
View attachment 3692119
Nilikuwa naipitia hii Browser nikafungua website yao nikakutana na huu ujumbe.

TRA ni wahuni kabisa, walipoona jamaa wamekuja na mifumo ambayo ni secure wakaona itawapa shida kuwa monitor raia kwenye harakati zao za utekaji.

Wakaona waje na hiki kikwazo
Screenshot_20261017-174325.png
 
Ni horror? Nilicheli trela yake sikuielewa
Yeah ni horror ila sio deep kivile

Ina kastory fulani hivi kanakofanya mtu awe curious kuzidi kuangalia ili ajue nini kilichofanyika hadi mtu fulani awe na nguvu za super natural.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom