Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hahaaaaaaa!! Umenifanya nicheke, eti ametuzungusha sana, kila akitaka kugegedwa lazima kikwazo kizuke, eti hata sasa wakati ameolewa bado tu kikwazo kimekuja, khaaaaah!!
Teh teh..Kuna wanaume wavumilivu aisee..Hawa jamaa hata season hii wanaweza kutoka kappa
 
Kaboom umeangalia??? Yaani naisubiri episode3 kwa hamuuuu maana ndio wanakwenda kulila tunda, sijui watafanikiwa au kikwazo gani kitatokea tena!!
Sijaicheki aisee...Ntaitafutia muda wikend...Wanasema tunda litaliwa kwenye season 6..So kuwa na subira tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom