mtimkav
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,034
- 662
kwa stail hiyo utaacha nyingi tuHapana nilisikia ina ufirauni nikaacha
kwa stail hiyo utaacha nyingi tuHapana nilisikia ina ufirauni nikaacha
MwakaniInto the badlands season 2 inatoka lin
,sure..fish anakuja na nguvu mpya..halafu kaongeza team..nadhani wale jamaa aliowatorosha wataungana nae
Hiyo waliicansel so haitotoka tena.Kuna series naielewa Sana American Odyssey..... Imetoka season 1. Sijui watatoa lini nyingine....
.........youMwakani
,
Gotham Season 3 "Vote Oswald Cobblepot For Mayor" Promo (HD)
.........you 2..........you
.........you 2.
naishia hapanaishia hapa
tuendelee.kama ningekua gotham city angepata kura yangu 😀😀😀...namkubali sana penguinPinguin ana mapesa sasa hv..so umayor lazima aupate
Kuna watoto humu kina atoto and we're old enoughtuendelee.

waliongeza episode ya 23 kwa season 1Blindspot ni full season series yenye episodes 22... sasa huwa wanaanza na 11 episodes halafu wanachukua winter break at the end of december (21/22) baada ya hapo wanarudi tena at the end of march (spring) kumalizia 11 zilizobaki!!! Sasa kama 3 tayari zimeoneshwa, ina maana bado 8 kabla hawajaenda break.
NaziThe Night Of
Hebu ach kunibania bwana, acha nifaidi tu kama power.Kuna watoto humu kina atoto and we're old enough![]()
Basi sawa, twende tukale!Oooh!! Basi tukalale mie nina usingizi, ila sitaki fujo za ghost.