mtoto wa maskini
JF-Expert Member
- Jun 28, 2013
- 1,152
- 638
Aisee kama unazo za hivyo nitajie nizitafute ndio ugonjwa wanguGame of thrones na da vinci naunga mkono vikings nilitazama season 1 na 2 kidogo.
Inaelekea we mpenzi wa series zenye plot za kizamani kama mimi jaribu kutazama salamn na last kingdom
Vikings ipo mpaka 4 kali balaaaGame of thrones na da vinci naunga mkono vikings nilitazama season 1 na 2 kidogo.
Inaelekea we mpenzi wa series zenye plot za kizamani kama mimi jaribu kutazama salamn na last kingdom
Ninayo series ya 24- Season 1-9(GB 68)Strike back,The unit,Homeland..
Yes Madame
Queen of the south
mkuu naomba link ya warrior baek dong su na empress cheon chunIndex of /Korean/Hong Gil Dong/
Pakua hii hapo juu
Nyingine nyingi za kikorea pakua hapa chini
Index of /Korean/
New Link and working link without password
dl.asiawiki.cf - /Korean/Series/
Rose wood ina mambo gani mazuri?Nilishapata majibu mpendwa, thanks tho.
Ndio nipo episod ya 3 baada ya kumalizia Rose Wood s1, ni nzuri kwakweli.
Theodore bagwell the convict hiki chuma kitata sana hakiaminiki kinafiki kikatili kijanja ooh t bag ni noma.
Yaah,Ndani ya Sona Prison au Hell on earth,When you goes in never comes out..Niliipenda sana hii series hasa mishemishe na life la kule Sona prison.Theodore bagwell the convict hiki chuma kitata sana hakiaminiki kinafiki kikatili kijanja ooh t bag ni noma.
'Hellow Pretty' kwa sauti ya mbabe T BagNaisubiri,ila huyo michael kama kweli ni gasho aache mara moja.
mie ndio naangalia hiyo sasa hiviUmefika ya ngapi if loving you is wrong.
Juma5 wiki hii imetoka episode 1 ya s4..
kuna sehem moja sinza madukani.. kituoni kabisa.. ukitaka nakupeleka kabisa binamuWapi hapo Dar nitapata series Na movie nikaweke Kwa flash???
ni nzuri kama wewe mpenzi wa love storiesNaomba link nami niicheki
Maisha yake binafsi yanahusiana nn na proffesion /kazi yake??Mkuu hukuwahi kusikia story ya jamaa kwamba ni shoga?
Kama ilikuwa ya uongo tukosoane mkuu.
Maisha yake binafsi yanahusiana nn na proffesion /kazi yake??
Duuu aisee poa nashukuruWe jamaa ni shoga nini?
Mbona unatetea sana hii kitu?
Ukute we na yeye ni kitu moja, maana umepanic!
Duuu aisee poa nashukuru
Mi shoga mwanangu!
Mnh! We mtoto hupitwi??!! Inarudi Season 2 next week, kwahiyo stay tuned!Hapo chacha ndipo penye shughuli, chige okoa jahazi