Ta Kamugisha
JF-Expert Member
- May 17, 2011
- 3,547
- 2,194
Haijatoka tu bado?
Sikuwepo humu kwa wiki nzima mtani kutokana Na majukumuMuda kidogo umepita bila kujuliana hali huku pia kwema tunamashukuru mungu.
Inahusu niniKuna tv series inaitwa THE FLASH Michael scofield na mwenzake alie act kama kaka yake wapo kwenye hio series Michael ame act poa
Itafute online au YouTubeInahusu nini
Karibu tena naona msimbazi sio kubaya au mapema sana?Sikuwepo humu kwa wiki nzima mtani kutokana Na majukumu
Hahahaah sio kubaya, naona jangwani ndio mambo yatakuwa mabaya msimu huuKaribu tena naona msimbazi sio kubaya au mapema sana?

MhhhhAlie liwa tigo ni Afande kihereher Bellick![]()
![]()
![]()
Hapana bado tupo uzuri tuweke akiba ya manenoHahahaah sio kubaya, naona jangwani ndio mambo yatakuwa mabaya msimu huu![]()
![]()
hahahhaahhhahahahhahahahahahhahahahhahhaha umenifanya nicheke sanaaaaHapa ndo Scofield anakuja kuplay ushoga kwenye Series sasa.
Sawa mkuuHapana bado tupo uzuri tuweke akiba ya maneno
Kuna tv series inaitwa THE FLASH Michael scofield na mwenzake alie act kama kaka yake wapo kwenye hio series Michael ame act poa
Strike back,The unit,Homeland..Napata wapi Series kama 24? Au Prison Break?
Mkuu au na wew umesimuliwa mbona ni swari rahisi tu uliloulizwa.Itafute online au YouTube
Namsubiri mbishi wangu T berg the mafia
Nadhan itakuwa ushogaInahusu nini