Series (Special thread)

T Bag ..!!

Huyu jamaa hawajawah kupendana na Michael ila kuna kipindi ilibidi wategemeane ili kukamilisha mambo ..!!

Hiv yule mdada mwenye macho ya paka, yupo au alikufa ..?!
Nadhani usahii zaidi ni kwamba, Michael hakuwahi kumpenda T-Bag from day one sema unakuta anabananishwa na mazingira yanayotengezwa na T Bag mwenyewe na hivyo Michael kutokuwa na choice zaidi ya ku-team up na T-Bag huku kila mmoja akipiga hesabu za kumtosa mwenzake soon mission iliyowakutanisha ikishakuwa accomplished!!
 
Twisting the show when you blindly "kill" a very important Character!! If not twisting, kama alisalimika na ile suicide basi brain tumor ingemwondoa! But neither suicide nor brain tumor ambayo ilimwondoa na bado akaweza kutumikia Jela ya Yemen!

My interest ni kuona how did he end to Yemen Prison! Bila shaka waliokuwa wamemwokoa walimpa mission ama ya kwenda kumtorosha gaidi au security agent!!
 
t bag ni genius kama alivyoigiza
kuna kipande wanamuonesha baba yake akijitamba kwa wenzie kwamba mwanae t bag alipokuwa mdogo akiwa mkubwa atakuja kuwa rais alikua akijibu maswali magumu kuliko level yake
 
No vilikuwa ni vitoto tu vya jirani, vinapenda kuja kucheza kwangu, sasa wakaja wakati ndio naianza nikatoka kuwaletea juice, ile narudi nakuta mnjunjuano alafu vinaambiana 'ona wanapigana! Aisee nilizima fasta nikawaambie tukacheze nje.
kama nakuona hilo pozi lilivoisha
 
Wapi hapo Dar nitapata series Na movie nikaweke Kwa flash???
 
"The night of"...ni series nzuri sana hasa kwa wanaopenda legal battle. Ina episod 8 tu....so sweet !
 
hizi zilinivutia na nimezipa nyota tano...
Frozen flower
prison break
gu family
jumong
slavehunter
snow queen
iris
empire of the sea
marin
scandal
dont mess with an angel
the spy
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…