Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Acha uchoyo,huna kaa kimyaNENDA KARIAKOO UKACHUKUE COMPLETE ACHA KUKAA NDANI KAMA MWALI

Acha uchoyo,huna kaa kimyaNENDA KARIAKOO UKACHUKUE COMPLETE ACHA KUKAA NDANI KAMA MWALI

HahaaaaaaaAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
Wewe waonekana una roho nzuri sana ungekua karibu na huku nilipo nisingesita japo kuomba ushirika na weweAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
Dunia hii tunapita mkuu,huwa sioni haja ya kuwa na roho mbaya.Wewe waonekana una roho nzuri sana ungekua karibu na huku nilipo nisingesita japo kuomba ushirika na wewe
Nenda extratorrent.ccHiyo if loving u is wrong season 5 ishatoka?nimeishia 4..na kickass washaifungia,NAHAHA TU
Asante l like this spirit especially when you have a Chance to assist someone freely and you try to put some barriers it's inhuman.Dunia hii tunapita mkuu,huwa sioni haja ya kuwa na roho mbaya.
Niko hivi...kama mtu akitaka msaada wangu halafu nikashindwa kumsaidia naweza kuumwa!
Asante,ubarikiwe.
SureAsante l like this spirit especially when you have a Chance to assist someone freely and you try to put some barriers it's inhuman.

Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
nimemuambia aje kariakoo kama anataka series za aina yeyote ileAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
nimemuambia aje kariakoo kama anataka series za aina yeyote ileAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
nimemuambia aje kariakoo kama anataka series za aina yeyote ileAcha uchoyo,huna kaa kimya![]()
Mkuu hiyo banshee si zilipendwa pia mana imeshaishaPole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Nafikiri hii if loving you is wrong naihitaji pia.Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong
Arrow nimeshaimaliza labda hyo agent of shield bado sijaicheki.Kachukue Arrow,agents of shield na blacklist
Unapatikana mtaa gani kariakoo? Nikutafutenimemuambia aje kariakoo kama anataka series za aina yeyote ile
Narcos Season 02Pole sana yaani zilipendwa hizo kuna mpya nyingi nzuri kiasi kwamba hutakiwi kupoteza muda na hizo tens
Banshee
Queen of the south
If loving you is wrong