Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 15,276
- 33,583
Yaani i wish ningejua mapema, imenitia aibu leo!
pole kwa yaliyokukuta,cku nyingine usiangalie movie usiyoijua na mkweo 
Yaani i wish ningejua mapema, imenitia aibu leo!
pole kwa yaliyokukuta,cku nyingine usiangalie movie usiyoijua na mkweo 
No vilikuwa ni vitoto tu vya jirani, vinapenda kuja kucheza kwangu, sasa wakaja wakati ndio naianza nikatoka kuwaletea juice, ile narudi nakuta mnjunjuano alafu vinaambiana 'ona wanapigana! Aisee nilizima fasta nikawaambie tukacheze nje.![]()
pole kwa yaliyokukuta,cku nyingine usiangalie movie usiyoijua na mkweo
![]()
Hiyo series ina kazi na dawa.No vilikuwa ni vitoto tu vya jirani, vinapenda kuja kucheza kwangu, sasa wakaja wakati ndio naianza nikatoka kuwaletea juice, ile narudi nakuta mnjunjuano alafu vinaambiana 'ona wanapigana! Aisee nilizima fasta nikawaambie tukacheze nje.
Niliicheck km episode 2 hv,yule gay wa kijapan cjui kikorea akanitumbukia nyongo,nikaachana nayoNo vilikuwa ni vitoto tu vya jirani, vinapenda kuja kucheza kwangu, sasa wakaja wakati ndio naianza nikatoka kuwaletea juice, ile narudi nakuta mnjunjuano alafu vinaambiana 'ona wanapigana! Aisee nilizima fasta nikawaambie tukacheze nje.
Hawa magay ndio wanaharibu movie! Tena huyu eti anavaa kikike kabisa daaah!!Niliicheck km episode 2 hv,yule gay wa kijapan cjui kikorea akanitumbukia nyongo,nikaachana nayo
Hii ni nzuri toka episode oneQueen of the South inalekea kuwa nzuri
Mbona hukuniambia?Hii ni nzuri toka episode one
Nilijua uko bize na tumbo..Mbona hukuniambia?
Hii ya safari hii haina mbwembwe!Nilijua uko bize na tumbo..
Teh teh..Basi ipakue hiyo..Iko poa sana..Hii ya safari hii haina mbwembwe!
Okey, nashukuru.Teh teh..Basi ipakue hiyo..Iko poa sana..
Power ntaipakua tuangalie wote sawa?Okey, nashukuru.
Uende gym aisee, mi thitaki, nimechoka.Power ntaipakua tuangalie wote sawa?
Teh teh..Hutaki kuangalia power?Uende gym aisee, mi thitaki, nimechoka.
Haya bana..Unaangalia series zipi now?Nitaangalia mwenyewe
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Banshee, dirty sexy money(sijui ndio hivyo) na misstressesHaya bana..Unaangalia series zipi now?
Duuh..Mistresses nilishaisahau aisee,Ngoja niicheki..Banshee niliangalia season 1 tu nikastop..Mbele iko poa?..Banshee, dirty money,sexy mone(sijui ndio hivyo) na misstresses
Banshee bonge Series ukiiacha una matatizo halafu itafuteni the Night of nayo iko poaDuuh..Mistresses nilishaisahau aisee,Ngoja niicheki..Banshee niliangalia season 1 tu nikastop..Mbele iko poa?..
Hiyo ya dirty money ntaitafuta
'dirty sexy money'Duuh..Mistresses nilishaisahau aisee,Ngoja niicheki..Banshee niliangalia season 1 tu nikastop..Mbele iko poa?..
Hiyo ya dirty money ntaitafuta