Series (Special thread)

Series (Special thread)

nashukuru zamu hii hajaniangusha, angemuacha yule mrembo bila kulamba, angenikwaza, yule dada ni mzuri..!
Reacher hapaswi kumla Neagley bwana
😀 😀 😀 . Hata kwenye vitabu, na nimevisoma kadhaa, Reacher huwa hana mahusiano na Neagley ila huwa kuna videtective na vipolisi polisi vya kike kwenye mji anaopita na kujikuta anashirikiana navyo kwenye kesi za upelelezi. Hao ndio huwa anapita nao kabla ya kumaliza kesi na kuhamia mji mwingine 😀😀
 
Hiyo Reacher ni kali hivi?
 
Daah ukame wa series KALI za kucheki umekua mkali
Nimeanza upya Breaking Bad 😂
Ukame ukizidi itafuata YOU DEXTER then G.O.T
Show kali za kucheki zimekua adimu sana these days.
Mwenye recommendations ya show kali za genre hiyo aisee
It will be appreciated.
 
Wakuu Nipo kwenye mission ya kupakua series tofauti tofauti ambazo sijazioni hasi nijaze simu yangu. Nimetenga storage GB 200 kwa ajili ya series tu. Tafadhali naombeni kila mmoja anipe orodha ya series zake bomba alizowahi kuangalia. Kama sijaitazama nitaipakua.

Naombeni sana, reason ni kua anytime naweza kwenda eneo ambalo ni very remote network ya kupakua muvi ikawa shida
Barry,fargo,1883,the innocent,friends and neighbours,those who about to die.
 
Weekend hii burudika na hii
IMG_5953.jpeg
IMG_5952.jpeg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom