Series (Special thread)

Series (Special thread)

kuna vitu vingi unatazama unagundua humu duniani kuna watu wana akili mingi mno..!🙌🏾
Ha ha ha sana saana mkuu. Ni kweli kuna drama zipo ila walau kuna kitu kinakuja akilini unakiona hiki walau kina uhalisia na kinakupa kitu kichwani au kukupa maarifa mapya kujua dunia inaenda wapi.

Mimi movies kama 24, FAUDA, TEHRAN, PRISON BREAK, MONEY HEIST, HOMELAND nk zimenifanya nijue dunia inaelekea wapi na kujua kuna watu wana uthubutu wa hali ya juu sana na hakuna kitu mwanadamu akaamua na akashindwa.
 
Reacher hapaswi kumla Neagley bwana
😀 😀 😀 . Hata kwenye vitabu, na nimevisoma kadhaa, Reacher huwa hana mahusiano na Neagley ila huwa kuna videtective na vipolisi polisi vya kike kwenye mji anaopita na kujikuta anashirikiana navyo kwenye kesi za upelelezi. Hao ndio huwa anapita nao kabla ya kumaliza kesi na kuhamia mji mwingine 😀😀
😁😁
Vincenzo Jr ndiyo huwa anataka kushuhudia huo muujiza wa Neagley..! Mimi kwa hapo siungi mkono pia, ila hao wadada warembo warembo anaowasaidia, wakikubaliana asiwaache..!
 
hawa watu wapo dunia ya mbele mno kwa teknolojia kiukweli..! wacha tuendelee kupenda vitu vyao, vya kwetu tukipenda hata ubwabwa maharage inatosha sana..!🙌🏾
Mimi huwa najisemea kila siku nikiangalia Muv kuwa mchina asije tu kuingia soko la muv, ATATUHARIBIA. Mzungu anaandaa Movie kwa miaka au mwaka na akitoa kitu ametoa kweli.
 

Attachments

  • FB_IMG_1787415220806.jpg
    FB_IMG_1787415220806.jpg
    32.3 KB · Views: 7

Similar Discussions

Back
Top Bottom