Series (Special thread)

Series (Special thread)

images.webp

Mkasi 🔥
Download hapa
 
Eeh mkuu umepiga pozi hapa! Gray's anatomy ni ngoma kweli, lakini Prison Break ndio ilikuwa kitu kingine bana. Nilikula season zote kama chakula cha jioni. Naona hujataja Breaking Bad au Game of Thrones, hizo pia ni bomba kama unataka kuanza. Rocky inaanza January? Sijui hiyo, lakini kama inafanana na Rocky za zamani basi niko tayari kuangalia. Pia kuna The Walking Dead kama hujaiangalia, si ungependa kuongeza hiyo kwenye list yako?
 
Issue sio ASHUR..
Ashur si kama bathiatus tu au auvidius,vibius,titus calavius au appolinarie humu amecheza kama DOMINUS....
Tatizo ni ACHILLIA hakuna gladiator wa kike kwenye ludus yoyote ya kirumi so audience waliipa mgongo ndio maana wameicancel...

hata mimi nilikereka unakuaje bingwa mwanamke yan masela wakikubana wanakupiga vidole mara wachane chupi,yan haikuwa na ile mikiki kama SPARTACUS
Hakuna scene ilinichefua kama alivyompa penzi yule mzee, lol
Ndio maana nasema hizi 50/50 binafsi sizitaki, ifike mahala waache kututania
 
Hakuna scene ilinichefua kama alivyompa penzi yule mzee, lol
Ndio maana nasema hizi 50/50 binafsi sizitaki, ifike mahala waache kututania
Celadus na ilibidi ampe mapenzi ili apate ulinzi maana bila ivo angejuta...

Halafu mtu umekuja na cause zako toka huko kwenu,unasahau yote na destination inakua kulipiza kisasi cha mapenzi ule ni utoto wa hali ya juu....
Mwandishi alifeli kuandaa story au budget ndogo iliwacost...
Sequel nzuri ya spartacus ingekua house of agron kwakua ndiye aliepona peke yake kwenye ule msako...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom