Lavit
JF-Expert Member
- May 16, 2011
- 16,432
- 38,111
Ooh sawa hii inaonekana kali ngoja niishushe1. Conspiracy (makubliano baina ya watu kufanya jambo la hatari/baya)
2. Secret project (ikiwa inafanyika kwenye facility moja chini ya ardhi)
Hivyo Neagley kama star wa muvi analo jukumu la kusambaratisha hivyo vyote huku akikumbana na vikwazo vya askari ambao ni corrupt wakipewa nguvu na watu wenye UKWASI