Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 8,479
- 29,131
wanadai ukatili mkubwa ulioonyeshwa kwenye hiyo movie dhidi ya immigrants unaweza leta tafsiri mbaya mno kwenye maisha khalisi..!Sababu zikiwa nini
wanadai ukatili mkubwa ulioonyeshwa kwenye hiyo movie dhidi ya immigrants unaweza leta tafsiri mbaya mno kwenye maisha khalisi..!Sababu zikiwa nini
Mie nishaikata ep ya kwanzaSilo 3 imeachiwa episode moja, I can’t wait to watch moja baada ya nyingine kila Ijumaa..!🙌🏾
Hii movie inavyoanza tu ina traumatize, huyo mama kuchinjwa mbele ya mtoto wake aisee!🥺Nasikia kuna nchi imepigwa ban na watu wanaiangalia kutaka kujua kwanini imefungiwa. Hata mimi baadae nitaiangalia
View attachment 3621029
Hii ndio yenyewe sasa sio zile za kuoneana huruma. Huruma sio malezi wallahHii movie inavyoanza tu ina traumatize, huyo mama kuchinjwa mbele ya mtoto wake aisee!🥺
Hii movie si nzuri, huyu mzee anafundisha raia michezo hatari! Halafu issue ya politics hii..Hii ndio yenyewe sasa sio zile za kuoneana huruma. Huruma sio malezi wallah
Hakuna muvi nzuri duniani inayohusisha mauaji ila huko kufundisha kwenyewe ndio utamu wa muvi na hayo mauaji ndio utamu wa muviHii movie si nzuri, huyu mzee anafundisha raia michezo hatari! Halafu issue ya politics hii..
Tatizo sio fictious, kuna ka ukweli ambako ni inevitable 😁Hakuna muvi nzuri duniani inayohusisha mauaji ila huko kufundisha kwenyewe ndio utamu wa muvi na hayo mauaji ndio utamu wa muvi
Ngoja niicheki nitarejeaTatizo sio fictious, kuna ka ukweli ambako ni inevitable 😁
THANKS Seran huku ndo kwenyeweMoto wa volcano njoo huku😊
Karibu sana!THANKS Seran huku ndo kwenyewe
Mambo yanguuuu ngoja niidownloadKuna Jonasi mpya imetoka huku mama’ake inaitwa the four of us!😁
Binti wa zamani
Kaangalie kwanza hiyo singo movie hapo juu kuna muda wamekiwasha na kahaba moja hivi acha kabisa😁Mambo yanguuuu ngoja niidownload
Kuna Jonasi mpya imetoka huku mama’ake inaitwa the four of us!😁
Binti wa zamani
Netflix au movie box, sema hii kaja kivinginee ila pombe ndio haachi😁
Ameuliza mnaiangalizia wapi sio mnaiangalizia kwa kutuma program gani au website ganiNetflix au movie box, sema hii kaja kivinginee ila pombe ndio haachi😁
Wameshapata pa kutuwezea hawa!🙌🏾
Hmm hapo sijui nimjibu nini! Kwnai we ungejibuje🫢Ameuliza mnaiangalizia wapi sio mnaiangalizia kwa kutuma program gani au website gani