Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,739
- 49,274
Akutumie nauli smbmba na hiyo akulipie uber ili mkaiangalieHmm hapo sijui nimjibu nini! Kwnai we ungejibuje🫢
Akutumie nauli smbmba na hiyo akulipie uber ili mkaiangalieHmm hapo sijui nimjibu nini! Kwnai we ungejibuje🫢
Ah wapi anaulizia platform! Aliko na mimi niliko hatuwezi kukaa kuangalia pamoja😅Akutumie nauli smbmba na hiyo akulipie uber ili mkaiangalie
Ngoja aje athibitisheAh wapi anaulizia platform! Aliko na mimi niliko hatuwezi kukaa kuangalia pamoja😅
Anakuja😎Ngoja aje athibitishe
MBONA kwenye mambo ya ushoga huwa hawapigi banwanadai ukatili mkubwa ulioonyeshwa kwenye hiyo movie dhidi ya immigrants unaweza leta tafsiri mbaya mno kwenye maisha khalisi..!
Hii ni noma huyu jamaa ndio alicheza kwenye series ya Mercy for none hajui kucheka na kima yoyote. Iko hivi jamaa Alikuwa ni double agent wa both North and south Korea ikatafsiriwa alifariki kumbe alikuwa hai na anaishi maisha ya kawaida wengine wanamchukulia poa Sasa alivyokuja kuchukuliwa mtoto wake kipenzi ndipo akaamua kuonesha identity yake kuwa yeye ni mnyama ile mbaya. Oya ni hatari sana episode ya Kwanza imeanza slow ila kuanzia episode ya 2 huko kuendelea ni motoJapo huwa sizikubali za upande wa huko lakini je hii inaweza kuwa real deal?
View attachment 3621939
Emb weka link yake hapaNetflix au movie box, sema hii kaja kivinginee ila pombe ndio haachi😁
Wameshapata pa kutuwezea hawa!🙌🏾
Andika movie box utaionaEmb weka link yake hapa
watapigaje ban kitu wanachoki-support ili kiifikie jamii kwa ukubwa washenzi hawa..!MBONA kwenye mambo ya ushoga huwa hawapigi ban
utajuta kuchelewa kuanza..!🫠Mnanishauri nianze season 1 nitaipenda? Maana nilishiaga episode ya 3 nikaifuta
View attachment 3622526
Series nyingi nzuri kwasasa naona ndo zinaweka icho kipengele kwasasa kuangalia movie na watoto inakua risk sana katika upande wa maadiliwatapigaje ban kitu wanachoki-support ili kiifikie jamii kwa ukubwa washenzi hawa..!
Mimi wananikera ile mbaya yaani unakuta series ni Kali but na huo upuuzi utaukutawatapigaje ban kitu wanachoki-support ili kiifikie jamii kwa ukubwa washenzi hawa..!
wana normalize ili tufikie pahala tuone ni kawaida and it’s a way of life, sahii wanaweka ushoga hadi sehemu ambayo haina umuhimu wa kufanya hivyo..!Series nyingi nzuri kwasasa naona ndo zinaweka icho kipengele kwasasa kuangalia movie na watoto inakua risk sana katika upande wa maadili
Kabisa mkuu ni Kama ile ya A day of JackaySeries nyingi nzuri kwasasa naona ndo zinaweka icho kipengele kwasasa kuangalia movie na watoto inakua risk sana katika upande wa maadili
Inakwaza mno kiukweli, zamani ilikuwa ni vile vijamaa vimelegea, sahii unakuta mashababi kabisa, inatia kinyaa mno..!Mimi wananikera ile mbaya yaani unakuta series ni Kali but na huo upuuzi utaukuta
Ile ni nzuri sana imetulia inaendana na teknolojia kwasasa ila tu jamaa alipoingiza hayo maswala iliniletea taswira mbaya sana kama wakiendelea hivo na season tu basi nianze kuangalia movie za south africa tuKabisa mkuu ni Kama ile ya A day of Jackay
Na yanakua na ndevuInakwaza mno kiukweli, zamani ilikuwa ni vile vijamaa vimelegea, sahii unakuta mashababi kabisa, inatia kinyaa mno..!
Za mablack angalau huo ushenzi umepunguzwa NEMESIS ni kazi kaziIle ni nzuri sana imetulia inaendana na teknolojia kwasasa ila tu jamaa alipoingiza hayo maswala iliniletea taswira mbaya sana kama wakiendelea hivo na season tu basi nianze kuangalia movie za south africa tu
Kuwakwepa ndio hivyo hatuwezi wametushika vibayaInakwaza mno kiukweli, zamani ilikuwa ni vile vijamaa vimelegea, sahii unakuta mashababi kabisa, inatia kinyaa mno..!