Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,822
- 81,838
Sina cha kutizama aisee dah
Vuta hata ka sweet pea ujidanganyishie sio nzuri kivile na sio mbaya kivileSina cha kutizama aisee dah
Inaitwa hivyo scary movieIPi hiyo niitazame mda huu
Hauko serious! Movies zote hizi🤭Sina cha kutizama aisee dah
Hii tayari kakaVuta hata ka sweet pea ujidanganyishie sio nzuri kivile na sio mbaya kivile
View attachment 3620928
Hii tayari ndugu yangu si ndio ile yenye mambo yetu pendwaHauko serious! Movies zote hizi🤭
Angalia hata polygamist
Nasikia kuna nchi imepigwa ban na watu wanaiangalia kutaka kujua kwanini imefungiwa. Hata mimi baadae nitaiangaliaHii tayari kaka
IPi hiyo niitazame mda huu
Yes Germany,UK,Taiwan Na South Korea imenyimwa leseni ya kuoneshwa kwenye majumba ya sinema na hakuna direction au physical salesNasikia kuna nchi imepigwa ban na watu wanaiangalia kutaka kujua kwanini imefungiwa. Hata mimi baadae nitaiangalia
View attachment 3621029
Sababu zikiwa niniYes Germany,UK,Taiwan Na South Korea imenyimwa leseni ya kuoneshwa kwenye majumba ya sinema na hakuna direction au physical sales
Hii ya kawaida mno😃😄😁
Huwaga wanatafuta attention tu kama mademu wa mombasaNasikia kuna nchi imepigwa ban na watu wanaiangalia kutaka kujua kwanini imefungiwa. Hata mimi baadae nitaiangalia
View attachment 3621029
Ndio kila scene ni humu tuu 😁Hii tayari ndugu yangu si ndio ile yenye mambo yetu pendwa
Na kuna scream hapa ndio zinaponichanganya!
Eeeh vitu vizuri hiviNdio kila scene ni humu tuu 😁
View attachment 3621249
EP ya 3 imetoka leoHakuna wanazi wa GOT humu
Sioni mtu akiitaja House Of The Dragon S3….. ipo ep3
Nasubiri episodes zote ziishe nije niipakue
Nikimaliza hapo nasubiria The Day Of The Jackal
Acha kabisa 😅Eeeh vitu vizuri hivi
Silo 3 imeachiwa episode moja, I can’t wait to watch moja baada ya nyingine kila Ijumaa..!🙌🏾EP ya 3 imetoka leo