Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,773
- 49,373
Mpaka wenyewe wanajistukia inabidi matukio baadhi wayakumbushe kwenye episodes mpya humohumo. Citadel ilinikerakama Citadel, ile ni nini..!??
Mpaka wenyewe wanajistukia inabidi matukio baadhi wayakumbushe kwenye episodes mpya humohumo. Citadel ilinikerakama Citadel, ile ni nini..!??
Bora zile wanazosema previous, kama from huwa wanafanya hivyoWanakwaza, inabidi mtu ukatazame trailer ya season 2 ili kukumbuka baadhi ya vitu maana unajikuta umesahau vingi..!🙌🏾
HIi inanifaa ngoja niitafute nicheki na mama watotoVinakosekanaje? Ni comic+horror!
Waliyumba mnoMpaka wenyewe wanajistukia inabidi matukio baadhi wayakumbushe kwenye episodes mpya humohumo. Citadel ilinikera
Wanaleta michezo sana hawajui kuwa sisi wadau wao tunaumia mnokama Citadel, ile ni nini..!??
Ina vituko sana ndio shida! 😅HIi inanifaa ngoja niitafute nicheki na mama watoto
Na hili baridi nitafurahi mnoIna vituko sana ndio shida! 😅
Hapo sasa itakubidi utafute za tyler perry kama all queen’s men😂Na hili baridi nitafurahi mno
Ninayo hiyoHapo sasa itakubidi utafute za tyler perry kama all queen’s men😂
Episodes mpya umeangalia? Kila j2 inatoka mpya! Kuna divorce pia!Ninayo hiyo
Mama niongezee kama kuna nyingize zaidi ya hiyo ndio kazi zangu hiziiii😎Episodes mpya umeangalia? Kila j2 inatoka mpya! Kuna divorce pia!
😂😂Mpaka wenyewe wanajistukia inabidi matukio baadhi wayakumbushe kwenye episodes mpya humohumo. Citadel ilinikera
Yes,Bora zile wanazosema previous, kama from huwa wanafanya hivyo
😂😂Na hili baridi nitafurahi mno
Ndio hizo nimekupa sasa! Kuna episodes mpya, ruthless ina ma seasons kibao ila nzuri pia, polygamist si umeangalia😁Mama niongezee kama kuna nyingize zaidi ya hiyo ndio kazi zangu hiziiii😎
Reviews za wadau zina onesha ni nzuri
Ile ya marvel? Ya kawaida sanaVincenzo Jr umeangalia Iron heart?