Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 21,307
- 47,813
Link ya beef tafadhaliBeef
Mr robot
Patriot
Maniac
Link ya beef tafadhaliBeef
Mr robot
Patriot
Maniac
Series : KASABA au The town
Ni series ya kiuturuki ni ya mwaka 2025 hiko hivi majamaa 4 hivi katika safari yao wanabahatika kuona gari linawatu wawili ambo wameuwawa wakawa wanataka kutoa taarifa police kabla hawajafanya hivyo wanagundua kwenye hilo gari Kuna mabunda ya hela nyingi ya dollar na ukizingatia Wanashida lukuki wanajikuta wanahairisha mpango wa kutoa taarifa police wanachukua zile hela na ukizingatia hizo hela sio hela ya nchi yao na hawajui ni za nani? na kwanini watu walikutwa kwenye Hilo gari wameuwawa?
Baada ya kuzichukua hizo hela za kigeni wanaumiza kichwa watazitumiaje ili wasijulikane ukizingatia wapo kijijini na purchase power ya hapo ni ndogo
Umedownload na subtitle?
Nafikiri ni hii. Inakuja na Lugha tatu/mult audio plus subtitlesUmedownload na subtitle?
😀😀😀😀 Spirit of survivingDada ana roho ngumu huyu🙌🏾
Ila inatufundisha! Maana kuna watu wandharau sana wenzao kisa wana nafasi fulani..😀😀😀😀 Spirit of surviving
Huyo jamaa wa kushoto kutoka katikati ananifurahishaga jamaa anaomgozwa na mihemko akili huwa anaiweka pembeniNafikiri ni hii. Inakuja na Lugha tatu/mult audio plus subtitles
Kingereza
Turkish
India
View attachment 3584073
Inatoka kila wikiMkuu S04 umeipata yote mimi nimeishia episodes 2 tu!
Mimi binafsi siwezi kwanza hapa nina arosto kishenziusubiri kwanza mpaka zote ziishe..!???
Patriot 10/10Beef
Mr robot
Patriot
Maniac
Mida mibovu mida ya kurelaxNdio maana mnamis lead majibu ya wagonjwa kumbe mnaangalia movie kazini 😭😭 nimelia sana.
Kuna gangsland nimeielezea kwa kifupi nayo ni Kali sana pia Kuna memory of a killer
Nina kazi ya kuhesabu kila J’pili kwa ajili ya From na kila J’5 kwa ajili ya Divorced Sistas..!Mimi binafsi siwezi kwanza hapa nina arosto kishenzi
Kesho niishushe hiyo secret service naona wengi mnaisemasema humuNimemaliza SECRET SERVICE na MAN ON FIRE. Hizi series ni za moto
nimeianza leo nikimaliza nipite na Man on Fire, naona sifa zimekuwa mingi sana..!Kesho niishushe hiyo secret service naona wengi mnaisemasema humu
Divorced sisters season ngapi?Nina kazi ya kuhesabu kila J’pili kwa ajili ya From na kila J’5 kwa ajili ya Divorced Sistas..!
ni mateso na maumivu..!🙌🏾