Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,388
- 207,324
Ndio maana mnamis lead majibu ya wagonjwa kumbe mnaangalia movie kazini 😭😭 nimelia sana.Here we go.
Que sera sera
Knowledge comes at cost
Ndio maana mnamis lead majibu ya wagonjwa kumbe mnaangalia movie kazini 😭😭 nimelia sana.Here we go.
Que sera sera
Knowledge comes at cost
Mkuu S04 umeipata yote mimi nimeishia episodes 2 tu!Here we go.
Que sera sera
Knowledge comes at cost
Hiko kiumbe hakifaiAnti-monitor umemsoma huyu mkali? Mkali hafai huyu. Invincible S04 hakuna mfano.
View attachment 3580203
Episode ya 3 imetoka J’pili ya Jana kipenzi, inakuwa released kila J’pili..!Mkuu S04 umeipata yote mimi nimeishia episodes 2 tu!
Kumbe! Basi nimeishia ya pili tu wacha niwe mpolee!Episode ya 3 imetoka J’pili ya Jana kipenzi, inakuwa released kila J’pili..!
usubiri kwanza mpaka zote ziishe..!???Kumbe! Basi nimeishia ya pili tu wacha niwe mpolee!
Nisubiri kila inayotoka niangalie!usubiri kwanza mpaka zote ziishe..!???
Nmejaribu pia kuianza inatia uvivu, nmeiweka pemben kwanza. Labda itachanganya mbele ya safari mana wajuzi wanaiweka kwenye top ya all the time seriesNimeanza kuangalia The wire nipo ep 4 naona kama inaboa
Nikisinzia unanirudisha nyumbani 😀
Unasinziaje labda na hizo kelele za movies😆Nikisinzia unanirudisha nyumbani 😀
Najijua 😀😀Unasinziaje labda na hizo kelele za movies😆
Heh🤭 nyie ndio mnasinziaga bar🤣Najijua 😀😀
Dj akizingua na midundo mibaya afu ukamix na wenge la flying fish, mbona usingizi unakuja 😀😀Heh🤭 nyie ndio mnasinziaga bar🤣
Akuwekee za fujo ili uwe active!😃Dj akizingua na midundo mibaya afu ukamix na wenge la flying fish, mbona usingizi unakuja 😀😀
Sio fujo.. niwe nazijua nimsaidie kuimba 🤣Akuwekee za fujo ili uwe active!😃
Mwenyew hapo tutakesha!😅Sio fujo.. niwe nazijua nimsaidie kuimba 🤣