Series (Special thread)

Series (Special thread)

😂😂 zimo bana.. na hii ni S1… me nilijua ni drugs na 🔫.. mwanzo tu vitoto vya kike vimekiss, nkajifanya naongea.. mara watu wana moan daah
Na wewe unazingua movie za kizungu hutakiwi kuwatch na wengine scenes za sex lazima ukutane nazo ni Kama agenda yao ukitaka kuwa salama angalau ni za kichina au uturuki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom