DR SANTOS
JF-Expert Member
- Mar 11, 2019
- 14,025
- 31,604
Ngoja niishusheHii gangsland ndugu zangu ni Kali ile mbaya humo ndani Kuna undava wa Hali ya juu, unafiki, kugeukana, uchonganishi,tamaa na matumizi ya akili.
Ngoja niishusheHii gangsland ndugu zangu ni Kali ile mbaya humo ndani Kuna undava wa Hali ya juu, unafiki, kugeukana, uchonganishi,tamaa na matumizi ya akili.
Season 1, part two dear…!Divorced sisters season ngapi?
Kumbee🫢uwii nilikuwa naisubiri! Una stream wapi?Season 1, part two dear…!
Hii gangland ni single au series?Kuna gangsland nimeielezea kwa kifupi nayo ni Kali sana pia Kuna memory of a killer
Nimeokoka 😀😀Nimeangalia Euphoria Nikiamini ni mambo ya kidini tupu! aisee🫢 Depal
Mambo yetu yalee yapo il sio poa mzee Vincenzo Jr
SeriesHii gangland ni single au series?
au sio hiiSeries: GANGSLAND
gen z watata wanajihusisha na wizi mdogo mdogo mtaani wanajikuta wanaiba begi ambalo walidhani ina hela kumbe ni la madawa kulevya na bahati mbaya huo mzigo ni wa gangster mmoja hatari na katili wa madawa kulevya hii inaitwa messing up with wrong person na Kati ya hao Gen z mmoja wapo ni mjomba wa mwanajeshi mstaafu na ametoka kwenye familia nzuri ukilinganisha na magen z wenzake unafikiri itakuaje?
Series nenda page kuanzia 1714 nimeizungumzia kwa ufupiHii gangland ni single au series?
Hii movie inaokoa vijana😅Nimeokoka 😀😀
Sitakii. Niliona moja juzi kati nmeisahau jina… mchungaji anakula tunda la wife bila maandalizi, mara akajichanganya akapigishwa Bj na muumini mwanaume.. Ushetani mtupu 😀Hii movie inaokoa vijana😅
Imagine we ndio mama mchungaji ajae na hutaki kujifunza, wale nao binadmau eti😆Sitakii. Niliona moja juzi kati nmeisahau jina… mchungaji anakula tunda la wife bila maandalizi, mara akajichanganya akapigishwa Bj. Ushetani mtupu 😀
😀😀 haiwezi kutokeaImagine we ndio mama mchungaji ajae na hutaki kujifunza, wale nao binadmau eti😆
Umeionaje hiyo secret servicenimeianza leo nikimaliza nipite na Man on Fire, naona sifa zimekuwa mingi sana..!
Ni ngumu sana mamii movie za kizungu zikawa hazina hayo mambo sema kwa hiyo movie ni kidogo sanaHukusema kama kuna scene za sex aisee. Nimedhalilika😀 Hziyech22
Nimeipakua nkiri.ink mama angu..!Kumbee🫢uwii nilikuwa naisubiri! Una stream wapi?
siyo ya kukosa tajiri..!Umeionaje hiyo secret service
😂😂 zimo bana.. na hii ni S1… me nilijua ni drugs na 🔫.. mwanzo tu vitoto vya kike vimekiss, nkajifanya naongea.. mara watu wana moan daahNi ngumu sana mamii movie za kizungu zikawa hazina hayo mambo sema kwa hiyo movie ni kidogo sana