Series (Special thread)

Series (Special thread)

1EAAC2ED-AA49-4756-9333-6BC552D3ECD5.jpeg

Depal vipi hii?
 
Series : KASABA au The town

Ni series ya kiuturuki ni ya mwaka 2025 hiko hivi majamaa 4 hivi katika safari yao wanabahatika kuona gari linawatu wawili ambo wameuwawa wakawa wanataka kutoa taarifa police kabla hawajafanya hivyo wanagundua kwenye hilo gari Kuna mabunda ya hela nyingi ya dollar na ukizingatia Wanashida lukuki wanajikuta wanahairisha mpango wa kutoa taarifa police wanachukua zile hela na ukizingatia hizo hela sio hela ya nchi yao na hawajui ni za nani? na kwanini watu walikutwa kwenye Hilo gari wameuwawa?

Baada ya kuzichukua hizo hela za kigeni wanaumiza kichwa watazitumiaje ili wasijulikane ukizingatia wapo kijijini na purchase power ya hapo ni ndogo
 
Series : KASABA

Ni series ya kiuturuki hiko hivi majamaa 4 hivi katika safari yao wanabahatika kuona gari linawatu wawili ambo wameuwawa wakawa wanataka kutoa taarifa police kabla hawajafanya hivyo wanagundua kwenye hilo gari Kuna mabunda ya hela nyingi ya dollar na ukizingatia Wanashida lukuki wanajikuta wanahairisha mpango wa kutoa taarifa police wanachukua zile hela na ukizingatia hizo hela sio hela ya nchi yao na hawajui ni za nani? na kwanini watu walikutwa kwenye Hilo gari wameuwawa?

Baada ya kuzichukua hizo hela za kigeni wanaumiza kichwa watazitumiaje ili wasijulikane ukizingatia wapo kijijini na purchase power ya hapo ni ndogo
Naipata site gani
 
Huko status kila demu monica, nimeenda mpka snapchat same shit! Hebu nielezee kidogo nikaione lol😂
Ilitokaga part1 hapo nyuma ikatrend sana lakini mie sikuangalia.. sasa jana imetoka part2.. kama kawaida yao wananchi wakatrendisha.. nikaamua leo kuangalia

Ni nzuri.. ina funzo.. ukiangalia bila kushtua mapafu 🚬💨 chozi linaweza kukutoka kdogo.

Binti Monica ni 1st born kwao.. anajitahidi kadri awezavyo kwa ajili ya familia yake lkn hawana shukrani. Anapata mpenzi, mama ake anamkatisha tamaa na kumsihii aachane nae. later on mdogo wake anapita na mpenzi wake mpaka wanaoana.
Ndoa haikudumu sanaa mpenzi akafa kwenye part2.

Maisha pale home yakazidi kumkwaza Monica akaamua kusepa. Anapata deal huko mambele akatimka zake

Naimalizia nione mwisho wao
Ila kuna aina ya wazazi ni kheri wasizae aisee..
 
Unastream wapi niangalie nijilize na kujibembeleza mwenyewe vikinizidia nipulize nusu tu🤧
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom