Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 50,701
- 204,259
Kuna kamoja kanaitwa machine gun.. unaangalia mpk unachefukwa unafanya kupeleka mbeleMi huwa napenda movie isiwe na sex scene ambazo hazina maana, sababu nipo ku enjoy stori ya movie nikingekuwa nataka hisia nyingine si ningeenda ku angalia zangu pilau 😁
Pilau ni pilau, sometimes unacheck tu makande, mixer la maharage na mahindi 😀