Series (Special thread)

Series (Special thread)

Leo ndo FEB 23
 
Attachments

  • 20260223_130219.jpg
    20260223_130219.jpg
    204.9 KB · Views: 6
Korean drama series:The Art of Sarah

Moja Kati ya pieces Kali ni hii Kuna mauaji yanafanyika ila Sasa haijulikani anayefanya ni muhusika yupi kwa sababu muuaji ana identity tofauti tofauti ishu ni kumjua ni identity yupi ni sahihi? Ndipo hapa police kwenye kitengo cha investigation wanapokuna kichwa kumpata the real suspect
Seran
 
Hii nasikia watu wana isifia sana, ila mi naona kama inafanana na Celebrity kama ishaiona kwa jinsi ilivyokaa ni kama hyo celebrity nayo ni ya korea pia
 
Celebrity ikoje?
Kuna msichana mmoja na ndoto ya kuwa mtu maarufu, sasa kwa bahati ikatokea akwa maarufu kwa muda mfupi tu na kama kawaida akaanza kutafuta marafiki ambao ni maarufu akawa anajua ni marafiki zake kumbe sio wanasemana wao kwa wao pia wanajihusisha na uhalifu, wakawa wanamuonea wivu mpaka wakapanga kumuua ila wao wakawa wanajua wamefanikiwa kumbe alifanikiwa kupona na ana anza kuvujisha siri zao kwa uma kidogo kidogo bila wao kujua wao wakijua ni wana snichiana wenyewe kwa wenyewe
 
Hii inaonesha ni Kali ila haifanani story na hii ya The art of Sarah
 
The Night Agent S3. Iko Vizuri Sana kuliko Season 2.

Nilitaka kusita kuiangalia Maana Season 2 ni kama walienda chaka hivi. Ila Hii Season 3 walituliza kichwa.

Sehemu moja tu ndio wameniangusha. Ni hivi

Yaani Peter hajaona zile red flags zote kushoto, kulia, Juu, chini, pembeni, ndani, nje hadi koridoni anazopewa na Mtoto wa Kihispaniona pale mwishoni kwenda kumla Barcelona ilipo mizimu ya mababu zake ili utamu uwe bampa tu bampa daaah.

Kaniangusha Sana Mwamba.
 
Nimeona reviews nyingi zinasema Season 3 ina action nyingi zaidi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom