Series (Special thread)

Series (Special thread)

Mr Q Depal Dr. Mariposa Vincenzo Jr Seran Carleen
‎Night of the haunted, [ drama, mystery ] ( 2023 )

‎Alice ni mfanyakazi kwenye shirika la madawa, akiwa anatoka kwenye seminar usiku mida ya saa nane yupo na mfanyakazi mwenzake wanaenda super market kuchukua baadhi ya vitu na pia kuweka mafuta kwenye gari, ila bahati mbaya wanashambuliwa na sniper na mfanyakazi mwenzake anakufa, Alice akiwa hajui ni nani na kwa nini kashambuliwa ila sniper akiwa anamjua, hivyo usiku mzima alice anahangaika kujiokoa kwa sniper huyo huku akijaribu kujua ni nani na kwa nini anamfanyia hivyo
 
Nimetafuta humu sikuona special thread kwa ajili ya series ila movies.

Kwa wale wapenzi wa series tujadili hapa series tulizoona na ilivutia,pia wengine ambao hatujui baadhi ya series tunaweza kupata hapa majina ya series mpya.

Kwa upande wangu hizi ni baadhi ya series nilizongalia na zimenifurahisha.

1.Leverage
2.Breaking bad
3.Prison break
4.Burn Notice
5.Lost
6.Revolution
7.How to make it in America
8.How I met your mother
9.Martin
10.Community
11.Walkind dead

Hizo ni baadhi tu..

UPDATES ZA SERIES TOFAUTI KUTOKA KWA WACHANGIAJI KWENYE THREAD.
New tv series nnazozipenda.

1.The last kingdom
2. Narcos
3. Quantico
4. Blindspot
5. The bastard executioner
6. Limitless

7. Jessica Jones
8. The Returned
9. Tyrat
10. Power
Tumkumbuke mwanzilishi wa Uzi huu Viol.
Comment yake ya mwisho ilikuwa 2023 huko
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom