Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 4,636
- 15,247
Ndio naianza hapa, kiukweli season 2 walizingua japo yule mtoto wa kiIran Noor Taheri alikua wa moto na kijishungi chakeThe Night Agent S3. Iko Vizuri Sana kuliko Season 2.
Nilitaka kusita kuiangalia Maana Season 2 ni kama walienda chaka hivi. Ila Hii Season 3 walituliza kichwa.
Sehemu moja tu ndio wameniangusha. Ni hivi
Yaani Peter hajaona zile red flags zote kushoto, kulia, Juu, chini, pembeni, ndani, nje hadi koridoni anazopewa na Mtoto wa Kihispaniona pale mwishoni kwenda kumla Barcelona ilipo mizimu ya mababu zake ili utamu uwe bampa tu bampa daaah.
Kaniangusha Sana Mwamba.