Dr. Mariposa
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,088
- 16,721
Unayapenda???Sema yale mambo sio sana wananiudhi mimiš
Binafsi movie ikiwa na mambo yale sanaa siipendi
Unayapenda???Sema yale mambo sio sana wananiudhi mimiš
Zamani nilikuwa sipendi sikuhizi sijui nimekuwaješš¾ Kuna siku naamka kabisa nataka kuangalia hizi movie, kuna siku nataka action,drama, vikings yani sijui kwannš¤¦š½āāļøUnayapenda???
Binafsi movie ikiwa na mambo yale sanaa siipendi
....nishushe Mwanza NyegeziiiiiZamani nilikuwa sipendi sikuhizi sijui nimekuwaješš¾ Kuna siku naamka kabisa nataka kuangalia hizi movie, kuna siku nataka action,drama, vikings yani sijui kwannš¤¦š½āāļø
Hebu niache dadaš....nishushe Mwanza Nyegeziiiii
šš
BadoSeries ya day of the jackal szn ishatoka??
Hapana ndugu yanguššNyie ni wasabato?
Dahh rest easy mwamba š¢View attachment 3546563
Huyu mwamba hatupo naye tena. Kama uliipenda The last ship basi huyu mwamba ndo alikua star mule ndani. Kama utahitaji kuangalia series yake ya hivi karibuni tafuta inaitwa Countdown ni kali sana.
Kweli asee RIP mwamba sana huyu kwenye Bad boys Ride or dieDahh rest easy mwamba š¢
Apumzike kwa amaniView attachment 3546563
Huyu mwamba hatupo naye tena. Kama uliipenda The last ship basi huyu mwamba ndo alikua star mule ndani. Kama utahitaji kuangalia series yake ya hivi karibuni tafuta inaitwa Countdown ni kali sana.
Kacheza sehemu nyingi sana, basi muda wake umefika tu!Kweli asee RIP mwamba sana huyu kwenye Bad boys Ride or die
Kweli apumzike kwa amaniKacheza sehemu nyingi sana, basi muda wake umefika tu!
Download kisha install torrent. Kisha ingia hizi sitesHuwa mnazi download wapi wakuu
Dah Captain Tom Chandlerš„View attachment 3546563
Huyu mwamba hatupo naye tena. Kama uliipenda The last ship basi huyu mwamba ndo alikua star mule ndani. Kama utahitaji kuangalia series yake ya hivi karibuni tafuta inaitwa Countdown ni kali sana.
Nimefanikiwa kutazama mimi na mke wangu tulienjoy sana walahiHebu fanya hivyo, asubuhi ulete mrejesho mkuuš