Series (Special thread)

Series (Special thread)

Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.

2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).

Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.

Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.

Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.

Yaani series haina Msisimko Kabisa.
 
Sijaanza hata episode 1
 
‘SHŌGUN’ premiered 2 years ago today.
5635.jpg
 
Hii Hijack Season 2 Mwandishi Kazingua,
1. Sababu ya kuteka treni nzima Sababu ya Mwanamke tena ambae walishaachana huko. Na ambae tayari huyo Mwanamke ana mwamba mwingine anakula.

2. Abiria waliotekwa walipata chance nyingi na za wazi za kutoka nje ya treni lakini hawakutoka (Hakuna uhalisia).

Bora hata Bomu lingekuwa labda na condition kwamba uzito wa treni ukipungua tani Fulani linakuwa Armed na kuanza kuhesabu countdown.

Halafu yule Chief of Police daah, Kilaza Sana.

Na yule binti aliekuwa Control centre ya treni yaani mpaka episode ya 7 sijajua Kazi yake nini, kazubaa tu, hajiongezi, hatoi ushauri wowote, anatoa tu macho.

Yaani series haina Msisimko Kabisa.
Hii ndio maana niliishia ep ya pili
 
Hivi kuangalia hii lazima niwe nimeona ile Dexter nyingine ?
Hapana Mimi sijaangalia zile mbili za nyuma ila nimeielewa
Kw ufupi kabla ya hii inaonekana mzee Dexter alipigiwa chuma na mwanae akajua amesha kufa sasa mwendelezo unaanzia huyu bwana akiwa hospital fahamu zinamrejea

halafu anagundua mwanae yupo kwenye msala hivyo analazimika kutoroka hospital ili akamnusuru mwanae.

Katika harakati zake anakuwa anawaza mengi ambayo yanawakilishwa na na Babu wa mtoto wa Dexter ambaye huyo mzee anakuwa anajitokeza kwa picha ya uhalisia akimshauri hili na lile Dexter.(Kiuhalisia ni mawazo tu yanakuwa yanapita kichwani hivyo isikuchanganye)
 
Asante mkuu , naomba urecommend animation nzuri za kumalizia weekend pia mkuu !!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom