kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Ipo ila sio sana wastani tuhii si itakua imejaa science fiction kwa sana mkuu?
Ipo ila sio sana wastani tuhii si itakua imejaa science fiction kwa sana mkuu?
Kwa vile ilivyoisha lazima ije season 4. Yaani mtoto wao kaokota tena yai mweeeAs far as I know...season 3 was and supposed to be season finale...
Sidhani kama itaendelea tena...
we umeiona tu kwa matukio
ila story line hujailewa siku nyingne sema sijaielewa kabisa na huwezi kuielewa ikiwa seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
kwa hiyo sema wewe haijakuvutia lkn usiseme kuwa ni ya kawaida sana si kwerii
Hata mimi niliwaza hivyo, sasa kama ndio ilikuwa season finale mbona janga!!Kwa vile ilivyoisha lazima ije season 4. Yaani mtoto wao kaokota tena yai mweee
G.O.T ndio best of the best ikifuatiwa na breaking bad.....Mtu anayesema ni ya kawaida au ni mbaya namshangaawe umeiona tu kwa matukio
ila story line hujailewa siku nyingne sema sijaielewa kabisa na huwezi kuielewa ikiwa seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
kwa hiyo sema wewe haijakuvutia lkn usiseme kuwa ni ya kawaida sana si kwerii
G.O.T is good, but breaking bad is the best of all them seriesG.O.T ndio best of the best ikifuatiwa na breaking bad.....Mtu anayesema ni ya kawaida au ni mbaya namshangaa
Kwa vile ilivyoisha lazima ije season 4. Yaani mtoto wao kaokota tena yai mweee
Hata mimi niliwaza hivyo, sasa kama ndio ilikuwa season finale mbona janga!!
Kumbe wameifanyia unyama. Ila isingeishaMkuu CBS walisha cancel hii kitu since last year...
Soma hapa chini kwa maelezo zaidi...
CBS says 'Under the Dome' will end this season
mkuu hapo mbona kama umeniacha ubungo,hiyo empire ipo hadi season 5 au ni empire gani unazungumzia maana mimi nimeishia season 2 episod ya 10 pale kwenye ku vote kura na nimejaribu kucheki bado hawajatoa season ya 3
Sio Empire (unless kama niliandika kimakosa) na wala sio Person of Interest bali ni SUITS... ni legal drama about one bright college dropout kid (wakati huo) aitwae Mike Ross. Huyu dogo alibebeshwa mzigo wa ganja kwenye briefcase na mshikaji wake kumbe ulikuwa ni mtego! So, wakati anawakimbia polisi akajikuta anaingia kwenye interview room ambako one Law Firm ilikuwa inatafuta Law Associate from Harvard.Hapa wanaizungumzia Person of interest wala sio Empire ndugu
Hizi medieval era dramas napenda sana movie na series zake........nimecheki Spartacus,once upon a time na vikings naona bado sana kwa GOT......G.O.T ndio best of the best ikifuatiwa na breaking bad.....Mtu anayesema ni ya kawaida au ni mbaya namshangaa
Okey nimekupata mkuu.Mkuu CBS walisha cancel hii kitu since last year...
Soma hapa chini kwa maelezo zaidi...
CBS says 'Under the Dome' will end this season
Hivi kumbe walikuwa hawajakamilisha first season!! Mie nilijua wanaandaa season2, vipi kuhusu quantico?Naona Blindspot imerudi kumalizia season ya kwanza.
MKUU NI SAHIHI MOVIE ZA HIVYO HUWA CKO INTERESTED NAzo kabisa...seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
Hivi kumbe walikuwa hawajakamilisha first season!! Mie nilijua wanaandaa season2, vipi kuhusu quantico?
blindspot inahusu nini......Hivi kumbe walikuwa hawajakamilisha first season!! Mie nilijua wanaandaa season2, vipi kuhusu quantico?
ok ina interijensia nyingiiii??????Mambo ya kiintelijensia, kunarate ndio shughuli, ngoja nimuite Innocizy aje anisaidie.
Yeapok ina interijensia nyingiiii??????
series zangu hizi napendaga sana za hivi...