Series (Special thread)

Series (Special thread)

You're welcome...

Mwezi march kuna series nzuri mbili zitatoka...

The Family (drama) na pia kuna The Catch (drama, thriller)...najua wewe ni mpenzi wa drama fanya kufuatilia hizo...

The Family itatoka mwanzoni mwa march nadhanj ni tar 4 ile na hiyo nyingine itakuwa mwishoni mwa march...

Ooooh kumbe!! Didnt knew this, nashukuru kwa taarifa mkuu
 
You're welcome...

Mwezi march kuna series nzuri mbili zitatoka...

The Family (drama) na pia kuna The Catch (drama, thriller)...najua wewe ni mpenzi wa drama fanya kufuatilia hizo...

The Family itatoka mwanzoni mwa march nadhanj ni tar 4 ile na hiyo nyingine itakuwa mwishoni mwa march...
Nashukuru sana, nitazifuatilia maana hizo ndizo haswaa zinazonikuna.
 
series iliyo kichwani kwangu sasa hivi ni narcos, sijui season 2 itatoka lini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom