Series (Special thread)

Series (Special thread)

Scandle,quantico,empire,power,jane the virgin,how to get away with murder

Hivi the haves n have nots iliisha?
Bahati mbaya sikuipenda so sikuifatilia tena.

Ktk hizo minasubiri kwa hamu power come June.
Ongeza GOT na last ship na 24 na into the badlands na daredevil.
 
Whaaat!
Ina uchawi uchawi nini?
Napenda sana mambo hizo.
Hiyo haina hizo mambo kabisa, mie na mauchawi mbali mbaliii hivyo isingekuwa kwenye list yangu, alifanyiwa insermination kwa bahati mbaya akashika ujauzito wakati hajawahi kukutana kimwili na mwanaune, alimuahidi bibi yake hatojig hadi aolewe, mwisho wa siku she is single,virgin with a baby.
 
Khaaaaa.
 
Yeah, nilienda kuigoogle,
Nadhan ni nzuri, story yake inavutia pia wamesema ni comedy-drama,
Naimani nitacheka,
Ngoja niianze kesho.
 
The 3 Musketeers nayo jaman iko Poa sana. Kwa wapenz wa Romantic na Action.

ImageUploadedByJamiiForums1457204729.790408.jpg
 
  • Thanks
Reactions: Lee
kaka hii series ya da vinc demon nimeanza kuicheki ila sijaielewa -emu naomba introduction,nadhani ndio series unayoipenda zaidi.nipo S01E01
Mkuu huwezi elewa series za artists kwa episode moja. Hebu maliza walau episodes mbili kwanza.

Muhimu zingatia. It's a good series.
Yenye kila ubunifu wa ancient times during Roma empire na Ottoman empire pia.
 
-Colony
-The man on the high castle
-wydewinepines

Cheki hizi series ni soo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom