Series (Special thread)

Series (Special thread)

hivi hii game of throne,...ndo ile kma wame act kma mambo ya kizamaniii hivi kings na quens..,...
mbonaq nmeona ya kawaida sana mkuu..
maana inavyosifiwa na nlivyoiona ni kawaida2....................ebu nieleweshe mkuu
eti ile ndio history ya Europe enzi hizooo, karne ya 13
 
Prohibition in United States miaka ya 1920s, prohibition ni kipindi ambacho pombe ilikua ni haramu kuuzwa huko u.s, sasa ikawa bidhaa adimu na ikapanda bei mno, sasa ikaanza kuzaa wahalifu waliokua wanapiga hela kwa kuiuza, hii ishu ya prohibition ndio ilizaa notorious gangsters kama akina Al Capone, Lucky Luciano, Meyer Lansky, Anorld Rothstein n.k, hawa jamaa kama ulikua huwajui ndio mafia original kabisa, hebu wa Google ujue history zao utavutiwa nayo Aidi
series gani hii?????
au?>
 
dzain.ila uhalisia ni mwingi CCTV Cameras zinadetect watu had mazungumzo yao yoyote yanakuwa recorded n kila kitu kipo controlled under CCTV camera...,.action kwa sana mkuu..ni drama kali sana........
napendelea zaidi drama kuliko action, vp nita enjoy?
 
napendelea zaidi drama kuliko action, vp nita enjoy?
mkuu nakupromis utaenjoy,....ukiielewa maudhui yake...
simchezo kaka.....
mkuu nakupromis utaenjoy,....ukiielewa maudhui yake...
simchezo kaka.....
 
huyu si keshakufa??
hapo sasa watu wanasema atakuwa mzima swari atafufukaje hilo yaan wamelificha hawataki kulieleza dunia nzima mshawasha upo kwa jon snow
je atafufuliwa na walker mana walker kule alimcheck kwa jicho la kumtamani mbaya na yupo karibu tu kufika NORTH kule kwenye NIGHTWATCH ya kina jonsnow akiwa full na jeshi lake la WAFU hatareeeeeeee

lets wait nd see !!
 
hivi hii game of throne,...ndo ile kma wame act kma mambo ya kizamaniii hivi kings na quens..,...
mbonaq nmeona ya kawaida sana mkuu..
maana inavyosifiwa na nlivyoiona ni kawaida2....................ebu nieleweshe mkuu
we umeiona tu kwa matukio
ila story line hujailewa siku nyingne sema sijaielewa kabisa na huwezi kuielewa ikiwa seriez zenye mfumo wa kingdom huna mzuka navyo
kwa hiyo sema wewe haijakuvutia lkn usiseme kuwa ni ya kawaida sana si kwerii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom