Series (Special thread)

Series (Special thread)

Wakuu naomba mtu anielezee Game of thrones Kwa ufasaha japo introduction nielewe... Maana nimeiangalia nikaacha naona Kama inanichanganya.
 
Jamani naulizia ivi vikings ya kina ragner imeendelea season 3??
 
Daaa narcos ni nyoko kakaa .
imefanana na breaking bad ambayo nayowaliua mbayaaa
 
Former CIA agent Reese (Jim Caviezel) -- now presumed dead -- and billionaire software genius Finch (Michael Emerson) join forces as a vigilante crime-fighting team. Using Finch's program, which employs pattern recognition to determine individuals who will soon be involved in violent crimes, they combine Reese's covert-operations training and Finch's money and cyberskills to stop crimes before they happen. Former Army Intelligence Support Activity operative Sameen Shaw joins the pair in their quest.
hii si itakua imejaa science fiction kwa sana mkuu?
 
Wakuu naomba mtu anielezee Game of thrones Kwa ufasaha japo introduction nielewe... Maana nimeiangalia nikaacha naona Kama inanichanganya.
hii mkuu kuhadithia ni ngumu kwa kua ina characters wengi sana na plot nyingi sana pia

labda download subtitles zitakusaidia kwenye kuelewa naona
 
Wapenzi wa korean dramaz tuambiane mizigo mipya iliyo ingia(series).
 
Season six in April.. Stay tune...
hivi hii game of throne,...ndo ile kma wame act kma mambo ya kizamaniii hivi kings na quens..,...
mbonaq nmeona ya kawaida sana mkuu..
maana inavyosifiwa na nlivyoiona ni kawaida2....................ebu nieleweshe mkuu
 
hii si itakua imejaa science fiction kwa sana mkuu?
dzain.ila uhalisia ni mwingi CCTV Cameras zinadetect watu had mazungumzo yao yoyote yanakuwa recorded n kila kitu kipo controlled under CCTV camera...,.action kwa sana mkuu..ni drama kali sana........
 
Wakuu naomba mtu anielezee Game of thrones Kwa ufasaha japo introduction nielewe... Maana nimeiangalia nikaacha naona Kama inanichanganya.
minimecheki nimeona ya kawaida sana.sio kma inavyosifiwa..,..
zaidi kilichoniboa haina maadili........
 
Duu ina maudhui ya unga na umafia??
Prohibition in United States miaka ya 1920s, prohibition ni kipindi ambacho pombe ilikua ni haramu kuuzwa huko u.s, sasa ikawa bidhaa adimu na ikapanda bei mno, sasa ikaanza kuzaa wahalifu waliokua wanapiga hela kwa kuiuza, hii ishu ya prohibition ndio ilizaa notorious gangsters kama akina Al Capone, Lucky Luciano, Meyer Lansky, Anorld Rothstein n.k, hawa jamaa kama ulikua huwajui ndio mafia original kabisa, hebu wa Google ujue history zao utavutiwa nayo Aidi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom