Extratorrent.comWakuu naomba mwenye the blacklist kuanzia seasin 2 anipm,nimeshindwa kuzidownload kwenye torrent
YES!!! Series nyingi US wanakuwa na Winter break na moja ya hizo series ni pamoja na Blindspot na Suit. Kama kumbukumbu zangu zipo sawa, Season 1 itakuwa na 22 episodes.Hivi kumbe walikuwa hawajakamilisha first season!! Mie nilijua wanaandaa season2, vipi kuhusu quantico?
Nigawie bas mkuuCrosing line
Crossbones
Desperated house wives s0 1&8
Fargo
Friends with better lives
Gossip girls
Graceland
Gracepoint
Life pieces
Motive
Pretty little liers s01&5
Resurrent
Salem
Saving hope
Sinnad
The american
The goldbergs
The have and have note
The vampire deries
Undercover
unforgettable
Weeds
Z nation
Zero hour
Dracula
Basketball wive
Kwa atakeye itaji naweza kunichek nagawa maana nataka kuzigufuta
Bado ni season one.Waungwana nauliza Shanara ipo mpk season ngapi? Au wanaitoa nusu nusu? Au aje.
Nashukuru kwa taarifa mpendwa.atoto,
Halafu kumbe uliulizia na Quantico. Ile imekuwa renewed to full season itakayokuwa na Episodes 22. I think this weekend wanaachia Episode 12 na few hours ago wame-renew for Season II ambayo itaanza mwishoni mwa September 2016. So, stay tuned for episode 12 soon.
Najua wapenda hizoo. Ongeza na ingine inaitwa shadow hunters. Nayo nzuri pia.Ooh!
Thank u Inno.
Ipi series ambayo uko so anxious kuona muendelezo wakeNashukuru kwa taarifa mpendwa.
Scandle,quantico,empire,power,jane the virgin,how to get away with murder, last ship.Ipi series ambayo uko so anxious kuona muendelezo wake