Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,465
- 14,608
Mkuu umepata wapi mbona nikichek yts na pirate bay siipatiKuna hiyo Red Alert ni 8/10 , usionee huruma bundle yako😀
Me nilinyonya kwa jamaa tu, ila fanya uipate nzuri sana( huzuni kiasi) inakupa picha kiasi flani kwa mfanano wa hali tuliyopitia juzi kati kuanzia tar29-tar3Mkuu umepata wapi mbona nikichek yts na pirate bay siipati
Hiyo nimeichukua Leo asubuhi. Hapa nilikuwa napambana na Fargo season 5 😁😁 hakika safari ya series' ya Fargo kuanzia 1 mpaka hii 5 sijajutia hata kidogo. Nakushukuri sana kwa kuileta hapa jukwaani.Mwanangu Carleen movie yako imeshavuja online imekuja ikiwa hd 😎🎥🍿
Cc dosho12 Mr Q Angel Nylon if cap fits
View attachment 3502042
Zipo nyingi sana brotherHiyo nimeichukua Leo asubuhi. Hapa nilikuwa napambana na Fargo season 5 😁😁 hakika safari ya series' ya Fargo kuanzia 1 mpaka hii 5 sijajutia hata kidogo. Nakushukuri sana kwa kuileta hapa jukwaani.
Je Kuna nyingine inayo endana nayo?View attachment 3502090
Barry defending Jacob nimesha zicheki ngoja nifiatilie hizo nyingineZipo nyingi sana brother
Kuna hizi
Barry
Mcmafia
The night of
Defending Jacob
The night manager
Nimerejea baada ya kuangalia trailer nimeridhshwa nazo na ntazishushaZipo nyingi sana brother
Kuna hizi
Barry
Mcmafia
The night of
Defending Jacob
The night manager
daaaaang’…!Mwanangu Carleen movie yako imeshavuja online imekuja ikiwa hd 😎🎥🍿
Cc dosho12 Mr Q Angel Nylon if cap fits
View attachment 3502042
Wazee hii kama squid game, masamurai wamewekewa mpunga mezani wanapema challenge mshindi wa mwisho ndo anaondoka na mpunga , humu panga zinatembea kweli kweliImetoka
Nipo EP ya 2 hapa sio powa aiseeWazee hii kama squid game, masamurai wamewekewa mpunga mezani wanapema challenge mshindi wa mwisho ndo anaondoka na mpunga , humu panga zinatembea kweli kweli
Episode 6 za moto
Hii ya kitambo mwaka 2011 huko. Hawa ni waingereza mzee English yao ni ile yenyeweWakuu kuna hii series nmeianza inaitwa Top Boy aisee hii ngeli wanayozungumza humu ni balaaa...
daaaaang’…!
finally, Shukrani sana Sheikh Khaleed,
Nimeshusha;
Roofman,
Afterburn,
One battle after another,
Playdate,
Namalizia Reasonable Doubt Season 3 (episode 10),
Hedda & Five Blind Dates (a little drama won’t bite)..!
Happy Weekend y’all..!🥳🥳
Daredevil ingepandishwa juu juu kidogoView attachment 3501016
wame rate sawa sawa..!? kwa wana mliotazama hivi vigongo vyote..!??
Wajinga wanalugha ngumu sana bila subtitle natoka kapaHii ya kitambo mwaka 2011 huko. Hawa ni waingereza mzee English yao ni ile yenyewe
roofman is based on a true story, imenifunza kuwa sometimes hisia zetu zinaweza kuwa our downfall..!!Vyuma vitupu Yani. Hiyo roofman inaonekana imavituko ngoja nianze nayo
Kwa sasa hakuna utachagua ulipie movibox au la nayo onstream kama imebakwa vileWakuu naombeni site au apps za kudownload movie na series ukiachana na torrents sites, pia zenye quality nzurii na Mb's za rafiki